Kitabu Kinachofichua utapeli katika baadhi ya Makanisa

Kitabu Kinachofichua utapeli katika baadhi ya Makanisa

Hayo majukumu yote unataka umtwike Kamanda Kazi pekeyake? Na wewe kamata kalamu andika unachoona, yeye anatimiza wajibu wake kufichua majambazi ya upande mmoja, na wewe timiza wajibu wako kwa kufichua upande unaoona! MAKANISA NI UJAMBAZI, AFADHALI HATA MISIKITINI, MAKANISANI KUMEJAA DHULUMA NA WATU KUJIFANYA MIUNGU!

Afadhali misikitini?? Kivipi? Mwizi mwizi tu, awe kanisani au msikitini bado ni mwizi.
 
Last edited by a moderator:
Hayo majukumu yote unataka umtwike Kamanda Kazi pekeyake? Na wewe kamata kalamu andika unachoona, yeye anatimiza wajibu wake kufichua majambazi ya upande mmoja, na wewe timiza wajibu wako kwa kufichua upande unaoona! MAKANISA NI UJAMBAZI, AFADHALI HATA MISIKITINI, MAKANISANI KUMEJAA DHULUMA NA WATU KUJIFANYA MIUNGU!

mkuu huyo ni mvivu wa kufikiri. Yeye kama kayaona madudu ya bungeni na kwingineko kwanini asiyafichue?
 
Last edited by a moderator:
Afadhali misikitini?? Kivipi? Mwizi mwizi tu, awe kanisani au msikitini bado ni mwizi.

Kaka mimi nilishawahi kuabudu kote huko, AFADHALI MISIKITIN KULIKO MAKANISANI! Watu wa kanisa wana vituko, haijalishi ni ulokoleni wanakochangisha sadaka kutoka kwa wagonjwa, wala kwa waroman wanakokusanya zaka na kugoma kuswalia marehem kisa ndoa!..Wote ni majanga, wengine wanajificha kwenye majoho wakisafirisha mapowder!....aaaaaaaaaaaargh!
 
Hii thread imekaa kidini dini watoto wa mtume wanawaonea wivu watoto wa jesus wanavyo shine.
 
Usisahau weka relationship hii !why there is an increasing number of churches in tanzania but why there is also increasing of sins?
 
Mjini shule utawapiga Tu watu pesa ukiwa na kipaji hufi njaa mjini ni ubunifu tu.all the best
 
Kamanda, heshima yako! Naamini Roho wa Mungu amekuongoza kufanya hilo. Uandike ukiwa na ushahidi kamili.... Tena uweke jinsi wanavyo kaidi maandiko ili tujue the story behind the glory kama Mzee Mwanakijiji anavyosema

Sitotaja majina ya watu katika kitabu ila nitaeleza michezo inayofanywa na jinsi inavyokinzana na Maandiko Matakatifu! Yaani kwa kukisoma hicho kitabu mtu ataweza ku-judge mwenyewe mchungaji yupi ni wa kiroho na yupi yuko after pesa!
 
Wewe utakuwa miongoni mwao! Kwani mtakuwa mnajuana kwa vilemba vyenu

hapana mimi siyo tapeli kwa mgongo wa dini! nimekuwa napitia Maandiko na nimeona wanayofanya yanakinzana na Biblia! Wewe utakuwa mteja wangu wa kwanza! Karibu.
 
0qtb.jpg

  • Ndugu tutarajie lini kitatoka hiki kitabu?

Mwezi Oktoba, 2013
 
Hilo kwenye cover ni kasri la Mama Lwakatare nini?

Maana huyu katika hicho kitabu anatakiwa kuwa na chapter yake peke yake kuelezea alivyojipenyeza kwenye siasa, academia na dini.

Heshima yako mkuu! Hapana, mimi sintomtaja yeyote katika kitabu changu, sitaki kuwa katika mgogoro na watu. Mimi sio mhukumu wa wanadamu. Kitabu kinaeleza njia mbalimbali wanazotumia kutapeli watu kwa kutumia dini lakini wayafanyayo yanakinzana na Maandiko. kwa kukisoma kitabu wewe mwenyewe utaweza ku-point mtumishi yupi siyo na yupi ndiye!
 
Lakini hiyo cover mkuu haijatulia sana, tafuta mtu akufanyie design nzuri ya cover!
Unaweza kudesign picha ya mchungaji aliyevalia suti za gharama, kanisa amelipamba kwa dhahabu, bodyguards wenye vitambi, huku akihubiria watu wenye njaa vibaya mno, wamevaa ovyoovyo wako peku, wengine wamejipanga kwenye foleni wakikung'uta mifuko yao kutoa sadaka! Itapendeza sana mkuu!

asante sana kwa ushauri wako, nitafanya ulivyonishauri. be blessed!
 
Back
Top Bottom