Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
- Thread starter
- #41
Na wewe niwalewale tu unatafuta ulaji, unatafuta kupitia migongo ya wenzako
Pole ndugu maana umesema usichokijua! watunzi wa vitabu, watunzi wa nyimbo, na kila aina ya biashara Duniani unayoijua na usiyoijua lazima ipitie katika migongo ya watu, yaani No seller no buyer and virse versa! Hata Biblia na Quran zote zinauzwa! Kitu gani ambacho wewe unacho hukukinunua?