Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
- Thread starter
- #81
Na wewe ndo unataka uvue pesa toka kwetu...!!??
mbona Biblia na Quran vinauzwa?! maji yalioumbwa na Mungu mbona unanunua?
Na wewe ndo unataka uvue pesa toka kwetu...!!??
Na wewe kaa mkao wa kuomboleza manake nakisubiria kwa hamu ili na mimi nitoe changu cha kukuchana laiv mstari kwa mstari kisha tuwaachie wasomaji wapembue zipi pumba na ipi ngano
Wewe si utaona? labda usikitoe bila kukuchana laiv huwezi kujua kuwa wewe ni mjinga labda utakapoona na msimamo wa wasomaji; vitabu haviandikwi na watu wajinga bwana hiyo type yangu ndio huna ubavu nayo ndio mana nakuchallenge hadharani mimi nimeandika vyakwangu vipo kwenye web kama una ubavu toka hadharani basi uvichallenge wakati hata ufahamu wa kuweza tu kuvielewa hunasina mashindano na mtu yeyote! kashindane na watu wa type yako!
Ongea pumba kisha ukalale! Maana huna jipya zaidi ya ujinga tu!Wewe si utaona? labda usikitoe bila kukuchana laiv huwezi kujua kuwa wewe ni mjinga labda utakapoona na msimamo wa wasomaji; vitabu haviandikwi na watu wajinga bwana hiyo type yangu ndio huna ubavu nayo ndio mana nakuchallenge hadharani mimi nimeandika vyakwangu vipo kwenye web kama una ubavu toka hadharani basi uvichallenge wakati hata ufahamu wa kuweza tu kuvielewa huna
Kwa nin makanisa tu?tutaamini vp kama hiyo kweli yenyewe? Nawe waweza kuwa mwizi,nenda kahubiri injili sio kuliaibisha kanisa na mwli wa kristo mbele ya wapagan.katoe semina makanisa kuliko kuwakosesha watu mbingu kwa kuhisi makanisa yote,je umemsaidia nini asiyemkristo? Angalia na side b.
unaongea usichokijua! naumbua matapeli na wezi na sio watumishi safi wa Mungu! unachoongea ni sawa kama Bwana Yesu angekaa kimya bila kuwakosoa mafarisayo na unafiki wao! nitaendelea mbele kukitoa maana sharti kanisa liwe safi! kwa habari wa waislamu siijui Quran hata nikosoe matapeli waliojikita ktk dini hiyo!
Mungu anajiweza yeye kama yeye na hasaidiwi na mwanadamu kwa lolote si kumtetea wala kumtakasa; je wajua kwanini alimpiga Uza mbele ya macho ya Daudi alipojaribu kuzuia sanduku la bwana lisianguke? je mungu aweza kuanguka bila uwepo wa juhudi za kibinadamu? ni kweli nimetangaza kukuchana hadharani mstari kwa mstari na wasomaji ndio watakaoamua ipi kati ya kazi hizo mbili ina sura ya kweli ya mapenzi ya mungu.Nitasimama katika zamu yangu wala sitotetereka hata watu mia wanipinge na watu wawili tu wanikubali! Bwana Yesu alipendwa na watu wangapi? Yeye aliyesema 'wamenitenda mimi mti mbichi' sembuse sisi! Najua mtawala wa dunia hii ni shetani lakini malango ya kuzimu yanashindwa kwa jina la Yesu! Kitabu kitatoka tu hata shetani apinge kupitia watu. Kamwe sitafuti kupendwa bali natafuta mapenzi ya Mungu!
Ubaya wangu ni upi? Kuandika kitabu kueleza utapeli unaofanywa na matapeli wanaojifanya watu wa Mungu? Ningeandika kitabu kupinga kazi ya Mungu hapo sawa, ningestahili kupigwa mawe mpaka kufa!
Nawashukuru wote mliotoa comments zenu, iwe ni kwa kunipinga na kuniona 'mganga njaa' au iwe ni kwa kunitia moyo. asanteni sana wote mlionishauri na kunisaidia kufafanua mambo kadhaa wa kadhaa! Bwana Yesu alisema 'Barikini na wala msilaani' nami nasema Mungu aliye hai awabariki woooote!
Nampenda salimkabora ambaye amesimama kunipinga na kutangaza hadharani kuwa nikitoa kitabu changu naye atatoa chake kwa lengo la kunichana mstari kwa mstari! Nami nasema ataweza kufanya hivyo kama kazi niifanyayo ni ya mawazo yangu na kama siyo mkono wa Mungu wangu utapambana naye! Glory to the Most High God!
Kafichue wauza unga huko unakoelekea unataka kuokota makopo
Wewe si utaona? labda usikitoe bila kukuchana laiv huwezi kujua kuwa wewe ni mjinga labda utakapoona na msimamo wa wasomaji; vitabu haviandikwi na watu wajinga bwana hiyo type yangu ndio huna ubavu nayo ndio mana nakuchallenge hadharani mimi nimeandika vyakwangu vipo kwenye web kama una ubavu toka hadharani basi uvichallenge wakati hata ufahamu wa kuweza tu kuvielewa huna
Mimi sibweki nasimamia kauli yangu thabiti kwakuwa naona jamma kazama katika tope kwa kutojua maandiko; uzima na mauti vipo katika uweza wa ulimi nao unatakiwa kubariki na wala si kulaani tena imeandikwa usiyanene yaliyo mabaya ya mtu na ni vizuri ujishughulishe kuandika yaliyo mazuri ya mtu kuliko mabaya yake na kama ni kumuonya mtu fanya hivyo kwa upole tena mkiwa peke yenu sio kuleta ngonjera za maumbuzi hapa hadharaniumepewa go ahead akitoa mchalenge sasa mbona unabweka bweka hapa kama mbweha kichaa....afu yeye hajasema wala kuomba kukuchalenge we fanya yako na yeye afanye yake!
Wewe toa kitabu acha kubwabwaja uone aibu itakayokupata kwa michano ya uhakika; Yesu hakuwa na dhambi hata moja hivyo ilikuwa halali kwake kuchana waovu hadharani wewe je? mtu, mbishi, mkaidi, mwenye shingo ngumu, mjinga, anajitangazia utakatifu ili aweze kukosoa wengine. Wewe ni zaidi ya Daniel aliyeulilia ulimwengu akisema bwana usamehe tumekosa wote? hayo ni maneno ya nabii na wewe unanini angalau cha kumkaribia hata ujione kiranja wa wengine?
Kwa nin makanisa tu?tutaamini vp kama hiyo kweli yenyewe? Nawe waweza kuwa mwizi,nenda kahubiri injili sio kuliaibisha kanisa na mwli wa kristo mbele ya wapagan.katoe semina makanisa kuliko kuwakosesha watu mbingu kwa kuhisi makanisa yote,je umemsaidia nini asiyemkristo? Angalia na side b.
Mungu anajiweza yeye kama yeye na hasaidiwi na mwanadamu kwa lolote si kumtetea wala kumtakasa; je wajua kwanini alimpiga Uza mbele ya macho ya Daudi alipojaribu kuzuia sanduku la bwana lisianguke? je mungu aweza kuanguka bila uwepo wa juhudi za kibinadamu? ni kweli nimetangaza kukuchana hadharani mstari kwa mstari na wasomaji ndio watakaoamua ipi kati ya kazi hizo mbili ina sura ya kweli ya mapenzi ya mungu.
sipotezi muda wangu na watu wa aina yako! maana akina Tobia wapo mpaka nawe ni mmoja wao! wewe unayejinasibu kunichana wewe ni msafi??? hujioni au unatapika maneno kama kasuku?