Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
- Thread starter
- #101
Akili ndogo hujadili watu na meno la mungu lahubiriwa hadharani kwa faida ya wote; halipaswi kulenga watu mmoja mmoja kama akili yako chafu inavyotaka kujadili watu (watumishi wa mungu) mimi najadili ideas sio watu na nitachana mada zako hadharani sio kukuchana wewe mwenyewe binafsi na uchafu wako uliojificha wala kuongelea dhambi yako mojamoja. Unasumbuliwa na kiza kinene cha kutoyajua maandiko na kiherehere kinakuingia kwa ujinga huo
huna jipya zaidi ya kutukana maana unajitukana mwenyewe kwa jinsi ulivyo na akili ndogo! Mungu gani anayekuongoza kuchana kitabu changu na mitusi yote hiyo?! be sensible and a grown up person NOT a trash-piece of person! subiri Mungu atakuaibisha na ndipo utajua kuwa akili yako ni ndogo! kama huna pepo nini kinakutoa mapovu kwa kazi ambayo siyo yako? otherwise wewe nawe ni tapeli na unaogopa kuumbuka! lazima uumbuke tu, na hakuna wa kunitisha kwa chochote, Mungu ndiye zaidi ya yote!