Kitabu Kinachofichua utapeli katika baadhi ya Makanisa

Jipange na Mungu kisawasawa akupe mafunuo ya kukiandika hicho kitabu katika kitu ambacho shetani anapambana nacho ni kuweka chuki kwa watu juu ya utoaji wa sadaka kumbuka hakuna madhabahu yoyote ambayo haidai sadaka iwe kwa Mugu au kwa shetani,chukulia mfano kwenye sherehe maharusi na matamasha mbalimbali mtu kuchangia laki tano ni kitu cha kawaida kabisa na kutoa kiingilio cha laki moja kwenye tamasha fulani haoni shida lakini mtu huyo huyo nenda kamuangalie juma pili wakati anaenda kwenye ibada na ikifika wakati wa sadaka anatoa sadaka yake ya mazoea ya mia tano au elfu moja na anaunganisha na mlolongo wa maombi Mungu amsaidie katika kazi yake biashara yake na familia yake,baada ya ibada kukiwa na mchango kwa ajili ya ujenzi nk utaanza kusikia waumini wakilalamika na kusema hawa nao wamezidi kila siku michango tu lakini ni huyo huyo jana katoka kwenye tamasha la miss tanzania na kanunulia watu pombe zisizo na idadi mpaka wamezikimbia.
Ushauri wangu kwako ni huu jipange na Mungu uandike kile ambacho Mungu anakuongoza kukiandika na sio mawazo yako bila hivyo unaweza kujikuta unamtumikia shetani badala ya kumtumikia Mungu.Mimi sio mchungaji sio padri na wala sina kanisa,Nakutakia uandishi mwema katika kitabu chako na Mungu awe pamoja nawe.
sitaji jina la mchungaji yeyote ila kitabu kitakuwezesha wewe kujua nani mtumishi wa kweli na nani mtumishi wa tumbo lake.
 
wewe wasema mm sijui
ladyfurahia, niambie Bwana YESU alikuwa kichaa kwa kuwasema peupee mafarisayo na waandishi (wayahudi) kwa kukosoa matendo ya imani yao?! Nipe andiko moja tu katika Biblia ambalo lina-support watu kutoa pesa ili wafanyiwe maombi! Mimi kusema ukweli niwe kichaa! Haa haaa that is a daylight dream!
 
Jipange na Mungu kisawasawa akupe mafunuo ya kukiandika hicho kitabu katika kitu ambacho shetani anapambana nacho ni kuweka chuki kwa watu juu ya utoaji wa sadaka kumbuka hakuna madhabahu yoyote ambayo haidai sadaka iwe kwa Mugu au kwa shetani,chukulia mfano kwenye sherehe maharusi na matamasha mbalimbali mtu kuchangia laki tano ni kitu cha kawaida kabisa na kutoa kiingilio cha laki moja kwenye tamasha fulani haoni shida lakini mtu huyo huyo nenda kamuangalie juma pili wakati anaenda kwenye ibada na ikifika wakati wa sadaka anatoa sadaka yake ya mazoea ya mia tano au elfu moja na anaunganisha na mlolongo wa maombi Mungu amsaidie katika kazi yake biashara yake na familia yake,baada ya ibada kukiwa na mchango kwa ajili ya ujenzi nk utaanza kusikia waumini wakilalamika na kusema hawa nao wamezidi kila siku michango tu lakini ni huyo huyo jana katoka kwenye tamasha la miss tanzania na kanunulia watu pombe zisizo na idadi mpaka wamezikimbia.
Ushauri wangu kwako ni huu jipange na Mungu uandike kile ambacho Mungu anakuongoza kukiandika na sio mawazo yako bila hivyo unaweza kujikuta unamtumikia shetani badala ya kumtumikia Mungu.Mimi sio mchungaji sio padri na wala sina kanisa,Nakutakia uandishi mwema katika kitabu chako na Mungu awe pamoja nawe.

asante sana mtu wa Mungu. ubarikiwe kwa ushauri wako, nitazidi kuomba Mungu aniongoze ili nitoe kitu chenye kibali chake!
 
Hapa kidogo nataka kukuelea ila utawatambuaje hao watumishi wa kweli na wasio wa kweli.

Maana hata Biblia inasema ''Wengi watakuja kwa jina langu, watatoa pepo na kuponya wagonjwa''

Utufahamishe kwa uzuri kabisa wewe uliyefunuliwa hii neema ya kuwatambua hawa??

Asante kwa kuanza kunielewa. Nikupe kitu kidogo, wapi katika maandiko Yesu au wanafunzi wake walidai pesa kutoka kwa watu wanaowaombea? wapi Yesu aliwatenga watu kwamba wenye hadhi kwa kigezo cha vyeo au pesa waketi viti vya mbele na hao ndio waombewe kwanza? Naamani aliyeponywa ukoma alitaka kumpa pesa Nabii Elisha, Elisha alikataa. Mtumishi wa Elisha aitwaye Gehazi alipopokea pesa Mungu alimpiga ukoma! Hawa wanaotoza pesa wanatumia maandiko yapi?! Yule simon mchawi aliyetaka awape mitume pesa ili apewe kipawa cha Roho Mtakatifu alipewa?! Petro alimkemea vikali 'yeye na pesa yake wakafie mbali'!
 
Ukweli upi? suala ni jeee yeye ni msafiii? ukihukumu utahukumiwa. Watu walimtuhumu mwanamke kwa uzinzi na kumleta mbele za Yesu awape hukumu ya kumpiga kwa mawe mpaka afe na yeye akawaambia asiye na dhambi aanze kurusha jiwe; kilichoendelea pale unakijua? je yesu alikuwa anatetea uzinzi? na je uzinzi si zaidi ya kutafuna sadaka?
katika kitabu changu sitomhukumu mtu hata mmoja ila atakayesoma na kujiona anafanya visivyo atahukumiwa katika nafsi yake!
 
asante sana mtu wa Mungu. ubarikiwe kwa ushauri wako, nitazidi kuomba Mungu aniongoze ili nitoe kitu chenye kibali chake!

Hamna kitu. Huna jipya Njaa tupu. Maovu Yako mengi bahari kubwa Unataka kujipatia umaarufu kwenye dimbwi. Fanya utafiti uamdike kuhusu mauwaji ya albino, dawa za kulevya, migogoro ya wakulima na wafugaji, mabadiliko ya tabia nchi nk. Sasa usipotaja majina si udaku tu kama udaku mwingine?
 
Hujui unachokisema maana hujui kitabu changu kinahusu nini hasa! Nimesema sitaji majina na hiyo sio nia yangu au lengo la kitabu! Kitabu kitakuongoza wewe kupambanua mambo na kuwabaini watumishi feki. Kama unataka kufanya utafiti wa mauaji ya albino, dawa za kulevya, nk fanya mwenyewe! siandiki udaku unaoujua wewe...eti jina la mchungaji linaanzia na helufi M ehhee sijui upuuuzi gani! siko huko na siko kukosana na watu. afanyaye hayo atakaposoma kitabu changu atajipima mwenyewe! subiri kitoke ukisome then ndo utapike mawazo yako!
Nitakuona mjanja kwa ku-urgue kwa fact na sio kwa porojo!
 
Asante kwa kuanza kunielewa. Nikupe kitu kidogo, wapi katika maandiko Yesu au wanafunzi wake walidai pesa kutoka kwa watu wanaowaombea? wapi Yesu aliwatenga watu kwamba wenye hadhi kwa kigezo cha vyeo au pesa waketi viti vya mbele na hao ndio waombewe kwanza? Naamani aliyeponywa ukoma alitaka kumpa pesa Nabii Elisha, Elisha alikataa. Mtumishi wa Elisha aitwaye Gehazi alipopokea pesa Mungu alimpiga ukoma! Hawa wanaotoza pesa wanatumia maandiko yapi?! Yule simon mchawi aliyetaka awape mitume pesa ili apewe kipawa cha Roho Mtakatifu alipewa?! Petro alimkemea vikali 'yeye na pesa yake wakafie mbali'!

Kwa kweli hakuna ambapo Yesu alibagua watu kwa kigezo chochote kile wala kutoza watu pesa.

Hili la kubagua watu kwa minajili ya utajiri au vyeo vyao au usomi wao etc, mimi natafsiri kama kuabudu sanamu tu, maana hata makanisani watu wanaabudu vyeo vyao, usomi wao, fedha zao uwanasiasa wao kuliko hata kumjali mungu kama sio utu.

Utakuta mtu ana vyeo vingi na analazimisha aitwe vyeo vyote kabla ya jina lake mpaka inakuwa haina maana tena, Utasikia Mheshimiwa, Prof, Waziri, Mchungani fulani bin fulani. Wenye fedha nao utasikia wakijiita Pedeshee, Bilionea fulani

Nirudi kwenye Mada, Mungu hakuyapenda haya na ndio maana alitoa adhabu papohapo
kwa aliye kwenda kinyume na mtakwa yake. Kama ulivyotoa mfano hapo juu, lakini baada ya agano jipya mungu ameyaachia haya yatokee maana yesu alivyopaa alituachia roho mtakatifu kama msaidizi wetu, hakika tukimuomba yeye tutaweza kupambanua wepi ni wahubiri wa kweli na wepi ni laa

Muombe mungu wako na roho mtakatifu akuongoze ili ufike kwenye malengo ya kuandika kitabu kitakachomtukuza mungu na sio vinginevyo. Nasi tunakuombea pia.
 
Kila mtu ana karama na kipawa chake alichoitiwa usitake kulazimisha wapo walioitwa kwa ajili ya kuandika habari za maalbino migogoro ya wakulima na madawa ya kulevya
Hamna kitu. Huna jipya Njaa tupu. Maovu Yako mengi bahari kubwa Unataka kujipatia umaarufu kwenye dimbwi. Fanya utafiti uamdike kuhusu mauwaji ya albino, dawa za kulevya, migogoro ya wakulima na wafugaji, mabadiliko ya tabia nchi nk. Sasa usipotaja majina si udaku tu kama udaku mwingine?
 
Wewe ni miongoni mwa watu wenye mawazo ya kimaskini.

Mawazo ya kimaskini ni kuwapa sadaka wachungaji na kutegemea "wakuombee" uwe tajiri kama wao, wakati wao wanatajirika kwa sadaka yako.

Ku expose hiyo fraud hakuwezi kuwa mawazo ya kimaskini.

Watanzania ndiyo maana tunachechemea kwenye maendeleo kwa kuwa na fikra kuwa kila aliyefanikiwa ni ujanja ujanja.

Mchungaji Lwakatare si "kila Mtanzania".Unajionesha jinsi ulivyojaa generalization.

Nani ana umasikini sasa? Tena wako unaonekana unaanzia kwenye mawazo.

Fanyeni kazi mtafute pesa acha porojo.

Katika umasikini wako unafikiri kupata pesa ni lazima kufanya kazi, wakati watu wengine wametegesha fedha zao zinazaa fedha bila kuhangaika na kufanya kazi.

Pia huyu mwandishi ni mjasiriamali tu anatafuta pesa, kwa maana nyingine ni mganga njaa.

Ila Lwakatare anayewaingiza mkenge wenzake na kujitajirisha kwa migongo yao si "mganga njaa" ?
 
Mawazo ya kimaskini ni kuwapa sadaka wachungaji na kutegemea "wakuombee" uwe tajiri kama wao, wakati wao wanatajirika kwa sadaka yako.

Ku expose hiyo fraud hakuwezi kuwa mawazo ya kimaskini.

Mchungaji Lwakatare si "kila Mtanzania".Unajionesha jinsi ulivyojaa generalization.

Nani ana umasikini sasa? Tena wako unaonekana unaanzia kwenye mawazo.

Katika umasikini wako unafikiri kupata pesa ni lazima kufanya kazi, wakati watu wengine wametegesha fedha zao zinazaa fedha bila kuhangaika na kufanya kazi.

Ila Lwakatare anayewaingiza mkenge wenzake na kujitajirisha kwa migongo yao si "mganga njaa" ?

ubarikiwe Kiranga kwa kuwajibu kwa ufafanuzi makini! hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa mawazo. type hiyo ya umasikini ndio mtaji wa hao wachungaji matapeli. watu wanategemea utajiri utakuja kwa kuombewa na kukaa tu bila kutafuta pesa! mm nimeuliza simple question...katika Biblia wapi watumishi wa Mungu walitoza watu pesa ya kuombewa! mpaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya kutukanwa eti naganga njaa! by the way, duniani iwe ni mtu mmoja mmoja ama kampuni inayozalisha bidhaa au kutoa huduma inaganga njaa otherwise kusingekuwa na biashara katika dunia hii.
 
katika kitabu changu sitomhukumu mtu hata mmoja ila atakayesoma na kujiona anafanya visivyo atahukumiwa katika nafsi yake!
Hata maandiko huyajui si utaandika pumba tu wewe kuhukumu ni kumhesabia mtu kosa hebu tembelea hapa upate akili Home
 
Kila mtu ana karama na kipawa chake alichoitiwa usitake kulazimisha wapo walioitwa kwa ajili ya kuandika habari za maalbino migogoro ya wakulima na madawa ya kulevya

Sawa kiongozi! Very wise of you na ni kweli! I withdraw and wish him success.
 
Hata maandiko huyajui si utaandika pumba tu wewe kuhukumu ni kumhesabia mtu kosa hebu tembelea hapa upate akili Home

kama nimekugusa badirika otherwise hukumu ya Mungu ni halisi!
philosophy yako ni upuuzi mbele za Mungu bali Neno la Mungu ndilo litialo akili! endelea kujidanganya lakini mimi kamwe hujanishawishi na philosophy yako. walikuwepo akina Aristotle wakaondoka sembuse wewe na philosophy yako ya magumashi! take care you are in the wrong track!
 
Bangi mbichi tu hiyo umetafuna mungu gani uliyenaye wakukutoa mapovu kiasi hicho na kuhukumu kila uchao kweli nyani halioni kundule
 
wewe kaa mkao wa kula maana najua utakinunua kitabu changu!
 
Na wewe kaa mkao wa kuomboleza manake nakisubiria kwa hamu ili na mimi nitoe changu cha kukuchana laiv mstari kwa mstari kisha tuwaachie wasomaji wapembue zipi pumba na ipi ngano
 
Back
Top Bottom