Kwa kweli bible is the best book coz ni life itself ukiishi na kuifata ni somethn very valuable pia kunakitabu cha Joyce mayer kimebadili sana mtazamo wangu kifikra kinaitwa BATTLE FIELD OF THE MIND I wish watu wakisome
Kiongozi,unatuma softcopy au hard copy?kama ni soft copy nitumie tafadhali tillychizenga@gmail.comKuna vitabu vitatu ambavyo vimeshangia kubadili maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana. Ningependekeza kila mtanzania avisome.
1. THINK AND GROW RICH
Hiki kimenisaidia kuweza kufikia uwezo mkubwa ulio ndani yangu na kuniwezesha kuona fursa nyingi zinazonizunguka.
2. RICH DAD, POOR DAD
Hiki kimenisaidia kuhusu utofauti kati ya elimu ya darasani na elimu halisi ya mtaani. Kimenisaidia kuona mambo ambayo nilifichwa darasani na ambayo ni ya msingi sana ili kufanikiwa.
3. THE RICHEST MAN IN BABYLON
Hiki kimenisaidia kuhusiana na maswala yote yanayohusuana na fedha kuanzia kuweka akiba mpaka kuwekeza. Kimeniwezesha kuweza kujilipa mimi mwenyewe hata kwa kipato kidogo sana na kuweza kujenga akiba iliyotosha kuanzia biashara.
Hivyo ni vitabu ambavyo natamani kila mtanzania avisome. Kama huna vitabu hivi nitumie email kwenye amakirita@gmail.com na nitakutumia vyote vitatu bure kabisa.
Au unaweza kutembelea AMKA MTANZANIA na ukajifunza mengi pamoja na uchambuzi wa vitabu hivi.
Kiongozi,unatuma softcopy au hard copy?kama ni soft copy nitumie tafadhali tillychizenga@gmail.com
Ubarikiwe sana kaka nimeshapataNi soft copy, nitumie wewe email kwenye amakirita@gmail.com ili iwe rahisi kwangu kureply na hivyo vitabu. Karibu sana.
Ubarikiwe sana kaka nimeshapata
"The Philosophy of Religion: An Anthology".
Nilipokisoma nilikuwa na miaka 18, tangu hapo sijarudi katika kuamini kuwepo kwa mungu in the Judeo-Christian context.