Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,526
HONGERA MSEZA MKULU KWA KUANZISHA HII THREAD.WALAU INATOA MATUMAINI BADO KUNA WATU TANZANIA WASOMA VITABU
Kuna haja ya serikal kutenga bajeti kwa ajili ya kutafsiri hivi vitabu vya kiingereza just imagine kitabu km rich dad poor dad kingekuwa kimetafsiriwa kiswahili leo hii kingebadilisha maisha ya watu wangapi?
Asante mtoa Uzi
Nilopouona uzi nikachukua diary yangu na pen na kuanza kuandika vitabu ambavyo sijasoma
Nimepata vitabu 45 ambavyosijasoma
Nitadownload na vingine kuvitafuta ubungo, Mwenge na posta, Mlimani City sigusi kwakuwa huuzwa bei kali, huwa napita kuvichungulia tu.
On top of that hili wazo la club ya kusoma vitabu ni zuri nimelipenda hebu fanyia makeke tuwe wamoja tujifunze kwa pamoja
It's so wonderful
Big up for the Uzi
Kiswahili kinakusumbua mkuu,,nakushauri ukasome hiki kitabu 'Soma kwa hatua' kitakusaidia sana.. Mimi nimesema 'kalibu' kila aina ya kitabu...kamba iko wapi hapo
The Master Key Systems. Ila Wabongo hawasomi vitabu. Sijui tatizo ni kiingereza au nini?
Kuna vitabu vitatu ambavyo vimeshangia kubadili maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana. Ningependekeza kila mtanzania avisome.
Au unaweza kutembelea AMKA MTANZANIA na ukajifunza mengi pamoja na uchambuzi wa vitabu hivi.