Cofta
Senior Member
- Aug 6, 2017
- 158
- 630
Nakuomba unitumie hivyo vitabu katika email andersonjoel0123@gmail.comWote mlionitumia emails nimeshawatumia vitabu hivyo vitatu.
hicho apoView attachment How to Win Friends and Influence People.pdfNaomba mwenye kitabu cha How to Win and influence people. Nisaidie tafadhali
Thanks bro, umetisha kinoma.
2ko pamoja mkuu...Thanks bro, umetisha kinoma.
Kitupie hapa mkuuThe magic of thinking big by David what a book to read nimekisoma kilinifanya nasahau njaa kama inauma kila nikimaliza page nazid kuendelea
Kuuliza sio ujinga,alikusudia nini mkuu ?Thats my favourite book of all time.
kuna quotation inasema "To be of use in the world is the only way to happyness"
Niliipenda sana hii
Alikusudia ya kwamba kutumika duniani ni njia mojawapo ya kuwa na furaha.Kuuliza sio ujinga,alikusudia nini mkuu ?
Ipii haionekani hapaaSoma hii utanishukuru baadae
Anhaaa sahihi kabisa.Alikusudia ya kwamba kutumika duniani ni njia mojawapo ya kuwa na furaha.
Mfano wewe ni mwalimu na unafundisha watoto wanafaulu vizuri na kufanikiwa maishani.
Au ni daktari unatoa huduma nzuri kwa watu na wananufaika basi lazima uwe na furaha.
Wengi hufanya hizo kazi pasi na kuzipenda lakini pia mazingira huchangia.Anhaaa sahihi kabisa.
Lakini kwa nini kuna wimbi la madaktari na waalimu ambao hawafurahii kazi zao ?
Unadhani kwa nini wanatumikia watu akini furaha kwao hazipo ?
Mkuu hapo nakubaliana na wewe.Wengi hufanya hizo kazi pasi na kuzipenda lakini pia mazingira huchangia.
Ukimsoma Ben kwenye kitabu chake kasisitiza kufanya unachokipenda kulingana na talanta yako.
Hapo lazima uwe na furaha mkuu.Mkuu hapo nakubaliana na wewe.
Kufanya kitu unapenda ni raha sana.
Mathalan kuna mtu alipenda sana udaktari,akaipata iile kazi alikuwa anajituma sana anakuwa mkarimu mpaka akawa anasifiwa mno na watu mbalimbali kiasi kwamba ikafika hatua mpaka hospitali binafsi zikawa zinamhitaji mtu mwenye sifa kama yeye