Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kuna kipindi nilitafuta sana app za vitabu vya fasihi, sikuwai fanikiwa hata, hivyo sina uhakika kama hizo app zipo.
Kuna riwaya nilikuwa natafuta za Kezilahabi (Nagona, Mzingire na Kichwa maji), sikuzipata hewani
"Sorry for delaying response"
Probably ni hazipo
 
Probably ni hazipo
Exactly tunaweza sema hivyo, nina hard copy za kazi chache za fasihi ambazo kuna lecturer alikuwa ananiletea toka Kenya. Kama Kuli (Shafi,A.), Binadamu (Wamitila), Aliyeonja Pepo (Topan,F), Dunia Uwanja wa Fujo (Kezilahabi, E.) Amezidi (Said, H.) n.k. ila kwenye mtandao kuzipata ni ngumu, sijajua shida ni nini.
 
Hebu jaribu kuingia www.safeliz.com unaweza kupata softy copy zake..
Una softcopy yake unipe mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200409_083906.jpeg
IMG_20200409_084157.jpeg
IMG_20200409_084054.jpeg
1586411197956.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri sana huu
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Big picture by Ben Carson kilinifanya nijue vitu gani vya kuvipa kipaumbele katika maisha yangu. Hakika nimenifanya nione na kufikiria baadhi ya masuala ambayo hayaonekani na kufikirika kirahisi
vp mkuu huwezi nitumia soft copy mana nimekitafuta xana hichonlitabu sijakipata kaka
 
Back
Top Bottom