Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Wakuu,
Kama yupo mwenye kitabu cha "The partner ship Tanganyika na Zanzibar miaka 30 ya dhoruba..
Kilichoandikwa na Aboud Jumbe
Tafadhali nakiomba
 
JOKA LA MDIMU

Mwandishi Prof.Abdallah J.Saffari

Kitabu Kitamu Sana...Kina Matukio Mengi Ya Kufurahisha....
Kuna ufisadi Na Matumizi Mabovu Ya Ofisi za umma mikononi mwa bwana BROWN KWACHA....

Kitafuteni.
 
Alikusudia ya kwamba kutumika duniani ni njia mojawapo ya kuwa na furaha.

Mfano wewe ni mwalimu na unafundisha watoto wanafaulu vizuri na kufanikiwa maishani.

Au ni daktari unatoa huduma nzuri kwa watu na wananufaika basi lazima uwe na furaha.
Anhaaa sahihi kabisa.

Lakini kwa nini kuna wimbi la madaktari na waalimu ambao hawafurahii kazi zao ?

Unadhani kwa nini wanatumikia watu akini furaha kwao hazipo ?
 
Anhaaa sahihi kabisa.

Lakini kwa nini kuna wimbi la madaktari na waalimu ambao hawafurahii kazi zao ?

Unadhani kwa nini wanatumikia watu akini furaha kwao hazipo ?
Wengi hufanya hizo kazi pasi na kuzipenda lakini pia mazingira huchangia.

Ukimsoma Ben kwenye kitabu chake kasisitiza kufanya unachokipenda kulingana na talanta yako.
 
Wengi hufanya hizo kazi pasi na kuzipenda lakini pia mazingira huchangia.

Ukimsoma Ben kwenye kitabu chake kasisitiza kufanya unachokipenda kulingana na talanta yako.
Mkuu hapo nakubaliana na wewe.

Kufanya kitu unapenda ni raha sana.

Mathalan kuna mtu alipenda sana udaktari,akaipata iile kazi alikuwa anajituma sana anakuwa mkarimu mpaka akawa anasifiwa mno na watu mbalimbali kiasi kwamba ikafika hatua mpaka hospitali binafsi zikawa zinamhitaji mtu mwenye sifa kama yeye
 
Hapo lazima uwe na furaha mkuu.

Ndo kitu anasisitiza hicho bwana Ben Carson kwenye think big.

Sema kibongobongo tunajikuta tu tunafanya kazi tusizozipenda matokeo yake ndo hayo.
 
Back
Top Bottom