Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

mkaamweusi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
423
Points
500
mkaamweusi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2013
423 500
"Better yourself books" simkumbuki mwandishi ni nani wala Title ya Kitabu,but kina chapters kama.
.Take time to live.

.Take time to love.

.Take time to eat.

.Take time to Sleep.

.Take time to Die.

Yaani hizo ni baadhi ya chapter nnazokumbuka,nakitafuta sana hicho kitabu.
Mwl.RCT
 
goroko77

goroko77

Senior Member
Joined
Jul 9, 2019
Messages
150
Points
250
goroko77

goroko77

Senior Member
Joined Jul 9, 2019
150 250
Nami niseme yangu. Kuna mikono itandayo maajabu ya Ben Carson ...nayo nimepitiaa vyemaaa..na kinisaidiaaa kifikraa
 

Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,506
Top