Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,162
- 11,229
Mbona umekuwa mpole hivyo aisee charminglady?Nakushukuru Chachu Ombara
Daaah au loyer INA maana nyingine
I am a 'graduation' of big University downtown...kantangazeeee!
Mhitimu wa chuo kikuu huyo, mtaalam wa sheria!! Tunamtegemea kwenye mikataba ya raslimali zetu, na ushauri kupata katiba bora. Wengine mapovu yanawatoka kwa matokeo mabovu ya sekondari, eti mfumo.... Hivi mama Ndalichako angefanya nini? Kisia amehitimu chuo gani. Wapo walioanzisha chuo ili kupambana
Wasiojua kiswahili wanaangalia haya maigizo kweli? Sioni umuhimu wakuweka subtitles
zinaangaliwa huko africa magic. hujawahi kuona mtu msomi kabisa anaangalia yale mamovie ya kinaijeria na anajua waigizaji wote kwa sura na majina?