sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 558
- 1,919
Ukiangalia thread kadhaa wiki hii Jamii forum kuwa watu wanaandika kuwa wamekataa tamaa ya kuishi coz ya ugumu wa maisha.Wadau wengi katika sekta ya kukopesha watakwambia hadi watu walioowaamini wamekwama kurejesha...sema watanzania wavumilivu sana wengi wanaumia sana na ugumu sana wa maisha sema ndio ivo wanajikausha.
Upande wa pili wa shilingi kuna vijana wanalewa sana sijui wao pesa wanazitoa wapi? Hebu pita kitambaa cheupe lounge kuanzia j3 ,j4,j5 na alhamis hapo namaanisha week days.ni fully kujaa yaan hata pakuweka mguu hamna na wanakesha hadi asubuhi....