Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Nimepanda viwango [emoji23] zingatia Kili achana na meza na kinyweo
20231025_200804.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji119] Kunywa dabo kiki kweli hizi tarehe ndo tarehe za maokoto ila nashangaa ebu tusubiri Pesa za lidubwana labda zitatutoa huku kwnye wanzuki

Uhuru wa manyani na mganga kupokea kabejiQmmk noma Sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani mganga gani tena anapokea kabeji? Si tulikubaliana lazima kuku tena jogoo la kienyeji? Amekiuka utaratibu wetu huyo.
 
Usimtafute mchawi mkuu Hali n ngumu nchi nzimaa [emoji23][emoji23][emoji23] mpk mama samia naye anashindia dagaa Michele anasubiri wahisani watende miujizaa aweze kulipa mishara ya waajiriwaa wakee...

Nchi ngumu sana hii..
JamiiForums730022846.jpg
 
Kwa Jiwe walileta Vyuma vimekaza raundi hii wale vijana njaa wa kutumwa wapo kimyaaa Kama hawaoni vile.
Au ndio Kazimkazi anafungua Vyuma ?
 
Back
Top Bottom