othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,687
- 12,196
Vp kwa mwamposa? Mafuta na maji sio suluhisho tena?
Karibu sana.
Jamani 😂🤣 mwenyewe pagumu umeme shida basi kazi hazifanyiki Tanesco wanaomba radhi tu kila siku wanasema umeme upo double circuit na WA viwandani ikitokea hitilafu viwandani inaathiri na sie makabwela acha tu.Inahuzunisha sana ila Nourhan anashindia five star hotel. Shombeshombe langu la kihabeshi 😘
Halafu hivyo vitu vya nyumbani utadhani vinaambiana, maana vikianza kwisha vinafuatana [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani mshahara unatoka laki 3 unatenga budget ya kula kwa mwezi, ujibane sana Yani Sana 50, Hapo utenge pesa ya Kodi 40, na mnajua chumba Cha 40 hasa mjini Huwa kipoje achana na huko mbagala au lamboto, hapo ujatenga bili ya umeme 10 Yani huko ni kujibana, bili ya maji buku 5 pesa ya taka buku 2 , haya pesa ya Nauli kwenda kibaruani 30 hapo umeungaunga, haya uwe umeoa mkeo ni mama wa nyumbani utasikia Mchele nao umeisha, mafuta ya kula yanakaribia kuisha na Gas hamna[emoji3][emoji3], mkiwa kitandani mke anakuna kichwa huku akisema Mpenzi nywele zinawasha hapo anahitaji pesa ya kusuka buku 10 , Yani huo msuko ni kujibana tu. Mkiwa mnakula Mpenzi ujue king'ambuzi kinaelekea kuisha, andaa 17 mipira yako utaenda kuangalia huko bandani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3], halafu utasikia imetengwa MILIONI 700 kuwawezesha Vijana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sababu unamnunua kwa tarehe za kufatanaHalafu hivyo vitu vya nyumbani utadhani vinaambiana, maana vikianza kwisha vinafuatana [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ni hatari kubwa.Kwa kawaida hii ndio miezi ya pesa.. Ni miezi ya pesa kwakuwa bajeti inakuwa imeshatoka na pesa ishatembea mitaani.. Wakandarasi wameshalipwa hivyo maokoto ni ya kutosha sana kitaa.
Kipindi kama hiki watu huwa hawana shida ndogo ndogo.. Ile kuombana pesa ya kuzungusha fasta na kurejesha wala sio ishu kivile.
This time around mambo ni tofauti sana si kwa waajiriwa, si kwa waajiri si kwa wajisiriamali wala si kwa wazee wa fursa! Huko vilingeni waganga sasa wanapokea hata broiler huwezi kuamini.. Na sometimes wanaagiza hata perege mbichi! Just imagine mganga wa kienyeji anaagiza perege.
Wafanyakazi wanaodhaniwa wana nafuu nao ni vilio
Wakopeshaji hata wale wa mikopo ya kausha damu kote ni vilio tupu... Hata wale wa nani kama mama sauti zao hazina stereo tena.. Hata mitandaoni wanaingia kwa kuibia na bando za mkopo
Inasemwa/inasemekana kibubu cha kaya kiko empty zero kabisa.. Halafu madeni ya wahisani ndio usiseme wanafyonza mpaka ndururu.
Kulazimika kusaini lile zimwi kimagumashi sana ni kwa ajili ya kugewa maokoto[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Just imagine miaka 60 ya uhuru bado tunahemea[emoji35][emoji35][emoji35] Pengine ni uhuru wa manyani..
Hivi kweli mimi ni wa kunywa ngumu kumeza kwa mama bonge? Yaani hata kisungura kimenishinda?
[emoji1787] kuna jirani yangu hapa na kitambi chake kikubwa na tai kaagiza kisungura ila kasema kimiminwe chote kwenye birauli ya kioo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wenzangu nyie huko mliko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787] piga mkuu mm juz niliagiza heniken mbili Kuna watu waligeuaka nyuma kuangalia alieagizaa Ni nani wkt wenge walishikilia cucarHii post imenipa Kili mbili kumbe kuna mdau yuko hapa na wakati napost aliniona [emoji23]View attachment 2792659
Sent using Jamii Forums mobile app
Waganga wanapokea hata perege 😆😆😆Kwa kawaida hii ndio miezi ya pesa.. Ni miezi ya pesa kwakuwa bajeti inakuwa imeshatoka na pesa ishatembea mitaani.. Wakandarasi wameshalipwa hivyo maokoto ni ya kutosha sana kitaa.
Kipindi kama hiki watu huwa hawana shida ndogo ndogo.. Ile kuombana pesa ya kuzungusha fasta na kurejesha wala sio ishu kivile.
This time around mambo ni tofauti sana si kwa waajiriwa, si kwa waajiri si kwa wajisiriamali wala si kwa wazee wa fursa! Huko vilingeni waganga sasa wanapokea hata broiler huwezi kuamini.. Na sometimes wanaagiza hata perege mbichi! Just imagine mganga wa kienyeji anaagiza perege.
Wafanyakazi wanaodhaniwa wana nafuu nao ni vilio
Wakopeshaji hata wale wa mikopo ya kausha damu kote ni vilio tupu... Hata wale wa nani kama mama sauti zao hazina stereo tena.. Hata mitandaoni wanaingia kwa kuibia na bando za mkopo
Inasemwa/inasemekana kibubu cha kaya kiko empty zero kabisa.. Halafu madeni ya wahisani ndio usiseme wanafyonza mpaka ndururu.
Kulazimika kusaini lile zimwi kimagumashi sana ni kwa ajili ya kugewa maokoto[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Just imagine miaka 60 ya uhuru bado tunahemea[emoji35][emoji35][emoji35] Pengine ni uhuru wa manyani..
Hivi kweli mimi ni wa kunywa ngumu kumeza kwa mama bonge? Yaani hata kisungura kimenishinda?
[emoji1787] kuna jirani yangu hapa na kitambi chake kikubwa na tai kaagiza kisungura ila kasema kimiminwe chote kwenye birauli ya kioo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wenzangu nyie huko mliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] piga mkuu mm juz niliagiza heniken mbili Kuna watu waligeuaka nyuma kuangalia alieagizaa Ni nani wkt wenge walishikilia cucar
No way.. Hata SIMBA akikosa nyuma hula nyasiWaganga wanapokea hata perege [emoji38][emoji38][emoji38]
MAOMBI YA Wakati MgumuWaganga wanaagiza perege [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli.
Kabwela hio kwio we haya bana rich auntiee 😋😎😘.Jamani 😂🤣 mwenyewe pagumu umeme shida basi kazi hazifanyiki Tanesco wanaomba radhi tu kila siku wanasema umeme upo double circuit na WA viwandani ikitokea hitilafu viwandani inaathiri na sie makabwela acha tu.
Jenereta kukodi elfu 70 per day mafuta ya elfu 70 hapana kwa kweli.Kabwela hio kwio we haya bana rich auntiee 😋😎😘.
Tanesco wanawapaje stress wskati mna ma generator?