Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Kwa kawaida hii ndio miezi ya pesa.. Ni miezi ya pesa kwakuwa bajeti inakuwa imeshatoka na pesa ishatembea mitaani.. Wakandarasi wameshalipwa hivyo maokoto ni ya kutosha sana kitaa.

Kipindi kama hiki watu huwa hawana shida ndogo ndogo.. Ile kuombana pesa ya kuzungusha fasta na kurejesha wala sio ishu kivile.

This time around mambo ni tofauti sana si kwa waajiriwa, si kwa waajiri si kwa wajisiriamali wala si kwa wazee wa fursa! Huko vilingeni waganga sasa wanapokea hata broiler huwezi kuamini.. Na sometimes wanaagiza hata perege mbichi! Just imagine mganga wa kienyeji anaagiza perege.

Wafanyakazi wanaodhaniwa wana nafuu nao ni vilio
Wakopeshaji hata wale wa mikopo ya kausha damu kote ni vilio tupu... Hata wale wa nani kama mama sauti zao hazina stereo tena.. Hata mitandaoni wanaingia kwa kuibia na bando za mkopo

Inasemwa/inasemekana kibubu cha kaya kiko empty zero kabisa.. Halafu madeni ya wahisani ndio usiseme wanafyonza mpaka ndururu.

Kulazimika kusaini lile zimwi kimagumashi sana ni kwa ajili ya kugewa maokoto[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Just imagine miaka 60 ya uhuru bado tunahemea[emoji35][emoji35][emoji35] Pengine ni uhuru wa manyani..
Hivi kweli mimi ni wa kunywa ngumu kumeza kwa mama bonge? Yaani hata kisungura kimenishinda?

[emoji1787] kuna jirani yangu hapa na kitambi chake kikubwa na tai kaagiza kisungura ila kasema kimiminwe chote kwenye birauli ya kioo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui wenzangu nyie huko mliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Inahuzunisha sana ila Nourhan anashindia five star hotel. Shombeshombe langu la kihabeshi 😘
 
Sema hela zipo mkuu hao wanaonunua range za 2023, kujenga ma apartment wasemeje?.

Hela zipo sana especially dsm
 
Kweli hali ni ngumu.

Mimi kuna mzee juzi kaniletea stori yake naamini kabisa kuwa ananipiga lakini kwa nafasi yake na umri nikaamua kumpa tu.

Nimempa hela ila naamini kabisa alichonieleza hakina ukweli wowote.
 
Kwa kawaida hii ndio miezi ya pesa.. Ni miezi ya pesa kwakuwa bajeti inakuwa imeshatoka na pesa ishatembea mitaani.. Wakandarasi wameshalipwa hivyo maokoto ni ya kutosha sana kitaa.

Kipindi kama hiki watu huwa hawana shida ndogo ndogo.. Ile kuombana pesa ya kuzungusha fasta na kurejesha wala sio ishu kivile.

This time around mambo ni tofauti sana si kwa waajiriwa, si kwa waajiri si kwa wajisiriamali wala si kwa wazee wa fursa! Huko vilingeni waganga sasa wanapokea hata broiler huwezi kuamini.. Na sometimes wanaagiza hata perege mbichi! Just imagine mganga wa kienyeji anaagiza perege.

Wafanyakazi wanaodhaniwa wana nafuu nao ni vilio
Wakopeshaji hata wale wa mikopo ya kausha damu kote ni vilio tupu... Hata wale wa nani kama mama sauti zao hazina stereo tena.. Hata mitandaoni wanaingia kwa kuibia na bando za mkopo

Inasemwa/inasemekana kibubu cha kaya kiko empty zero kabisa.. Halafu madeni ya wahisani ndio usiseme wanafyonza mpaka ndururu.

Kulazimika kusaini lile zimwi kimagumashi sana ni kwa ajili ya kugewa maokoto[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Just imagine miaka 60 ya uhuru bado tunahemea[emoji35][emoji35][emoji35] Pengine ni uhuru wa manyani..
Hivi kweli mimi ni wa kunywa ngumu kumeza kwa mama bonge? Yaani hata kisungura kimenishinda?

[emoji1787] kuna jirani yangu hapa na kitambi chake kikubwa na tai kaagiza kisungura ila kasema kimiminwe chote kwenye birauli ya kioo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui wenzangu nyie huko mliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wewe mwenye pesa na wale ambao hawana pesa wanaohemea nani walipukutishwa na uviko 19?
 
Kweli hali ni ngumu.

Mimi kuna mzee juzi kaniletea stori yake naamini kabisa kuwa ananipiga lakini kwa nafasi yake na umri nikaamua kumpa tu.

Nimempa hela ila naamini kabisa alichonieleza hakina ukweli wowote.
Kesho takuja Samora unitoe na mimi [emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida hii ndio miezi ya pesa.. Ni miezi ya pesa kwakuwa bajeti inakuwa imeshatoka na pesa ishatembea mitaani.. Wakandarasi wameshalipwa hivyo maokoto ni ya kutosha sana kitaa.

Kipindi kama hiki watu huwa hawana shida ndogo ndogo.. Ile kuombana pesa ya kuzungusha fasta na kurejesha wala sio ishu kivile.

This time around mambo ni tofauti sana si kwa waajiriwa, si kwa waajiri si kwa wajisiriamali wala si kwa wazee wa fursa! Huko vilingeni waganga sasa wanapokea hata broiler huwezi kuamini.. Na sometimes wanaagiza hata perege mbichi! Just imagine mganga wa kienyeji anaagiza perege.

Wafanyakazi wanaodhaniwa wana nafuu nao ni vilio
Wakopeshaji hata wale wa mikopo ya kausha damu kote ni vilio tupu... Hata wale wa nani kama mama sauti zao hazina stereo tena.. Hata mitandaoni wanaingia kwa kuibia na bando za mkopo

Inasemwa/inasemekana kibubu cha kaya kiko empty zero kabisa.. Halafu madeni ya wahisani ndio usiseme wanafyonza mpaka ndururu.

Kulazimika kusaini lile zimwi kimagumashi sana ni kwa ajili ya kugewa maokoto[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Just imagine miaka 60 ya uhuru bado tunahemea[emoji35][emoji35][emoji35] Pengine ni uhuru wa manyani..
Hivi kweli mimi ni wa kunywa ngumu kumeza kwa mama bonge? Yaani hata kisungura kimenishinda?

[emoji1787] kuna jirani yangu hapa na kitambi chake kikubwa na tai kaagiza kisungura ila kasema kimiminwe chote kwenye birauli ya kioo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui wenzangu nyie huko mliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Puerto Rico iko hoi kiuchumi
 
Back
Top Bottom