Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Kitaa ni kigumu. Shekeli imetoweka

Karibu hapa Deez Pub tupige kvanga, kuna nyomi ya watu, kila meza imejaa kama vile mtaani mambo mazuri, nje hakuna pa kuweka magari....
 
[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
IMG-20231025-WA0082.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga mmezubaa Sana siku izi mnapigwa bao na kina kuhani .....wateja wenu ndio hao mwanakimbilia kwenye kukanyaga mafuta..
😂😂😂
 
Back
Top Bottom