Kiswahili cha Tanga

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,580
kutupa taka.jpg

Juzi katika pitapita yangu ziarani Tanga nimekutana nahii. umeipendaje?
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,711
7,151
wantaka wewe!.. hiki nacho ni kiswahili sadifu? Tanga kunani.
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,403
3,932
Tanga unaogeshwa kwa mimaji ya hiriki,kisosi cha moto kwenye mapokeo ya ikulu,tanga tanga yarabi tobaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForumsNkwingwa haya mambo ndio nayakataaga siku zote,tukalie kuogeshana na maji yenye hiliki jembe tutashika saa ngapi..??
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,352
66,297
mbona mwataka kutuchamba siye watu wa Tanga, kwani nyie huwa mwaongea vipi hicho kiswahili?
 

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,314
Tanga raha,kuna sehemu kama unaingia mjini kuna round about moja imeandika maneno ya kumtaka mwanamke avae mavazi ya heshima.af kwa mwanamke kule ukivaa hovyo utajistukia mwenyewe hakuna tofauti na zanzibar
 

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
mimi naona concern ya mleta picha ni neno takataka. Ndugu taka peke yake sio kiswahili fasaha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom