Alikua akijiona queen kutwa kujisjaua mtandaoni, sasa hivi analiaHamisa kazi anayo asee
Ama nn abaki huko huko taarifa atapata kupitia huku huku jf aliko pata hizo zingineMvua zinanyesha sana huenda anakimbia jembe
Recognition baba,,, walipiga sana kelele humu oh sio vizuri sijui na nini akapewa bichwa sana insta. Na akili yake ndogo sasa atkoma kuringa biashara zilivyo tyt sahivi atatia akili tu.Hivi huyu Dada kweli alishindwa kufikiri kama atulie aendelee kula hizo pesa za diamond?
Ujauzito tu Jamaa akamvutia gari!
Aulize wenzie huwa inakuwaje??
Hivi si angeendelea kujificha kwenye kivuli cha mtoto kumchuna Jamaa?
Wadada bwana akili zenu mnazijuaga wenyewe!!
Hii ndio aina ya mwanamke ambae sitahitji hata anisogelee...Nashukuru mungu katika wote niliowahi toka nao sijawahi pata chapa mobeto!Hamisa Mobeto, ni akisi la warembo wenye kupenda umaarufu. Pamoja na kutaka sifa za kijinga, hakika huishia kuanguka haraka sana.
Binti huyu aliuanza uhusiano kwa siri, hivyo ilimpasa hadi hapo aendelee kuwa namna hiyo. Ndiyo angeweza kufaidika zaidi na hata Mond angeweza kuja kwake alale naye na mtoto, ila yeye akashikiwa akili matokeo ni hayo. Kama alikubali kuvuliwa nguo ya ndani kwa siri kwa miaka kadhaa, kwanini hilo suala asingelificha.
Hapo sasa jamii ishamgundua alitegesha mimba makusudi, masikini Hamisa aliwaza mimba ndiyo inaweza kumvuta mwanaume. Akijua anaweza kuja kwake, matokeo anajibebea gunia la aibu.
Huyu dada ni kashikiwa akili, hawazi mwenyewe bali kuna watu humuwazia. Mwanamke wa aina hii, labda mwendawazimu ndiyo ataoa. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke wa aina hii, ingekuwa Zari ana akili za namna hii hilo tendo la kujua kazaa na mwingine basi angeweza kupewa maneno akavunja uhusiano. Bahati nzuri yule anajielewa, ndiyo maana jamaa hatoki
Ahahahha et wadau nguli wa social mediakwa kuwa shauri limetupiliwa mbali tu,basi Hamisa bado ana nafasi ya kurudisha tena shauri hilo iwapo kasoro zilizojitokeza ktk kesi aliyoiwasilisha awali zitarekebishwa.
Na msikute baada ya siku kadhaa mkasikia karudi tena mahakamani...labda aamue kusamehe tu kuhofia aibu/vichambo vya wadau nguli wa social media..SHILAWADU in particular!
Duuuh huu kwel ubuyu wa ndan ctak kujua umepata waphamisa ndo kaondoa kesi baada ya mond kuomba warudiane kama zamani
aina ya wanawake wasiyofaa kimahusiano. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke mwenye kushikiwa akiliHii ndio aina ya mwanamke ambae sitahitji hata anisogelee...Nashukuru mungu katika wote niliowahi toka nao sijawahi pata chapa mobeto!
Beauty wthi no brains boguz sasa amepata kakichaa na badoRecognition baba,,, walipiga sana kelele humu oh sio vizuri sijui na nini akapewa bichwa sana insta. Na akili yake ndogo sasa atkoma kuringa biashara zilivyo tyt sahivi atatia akili tu.
Wakati angechill angekuwa anabunya tu kimya kimya.