KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

Hivi huyu Dada kweli alishindwa kufikiri kama atulie aendelee kula hizo pesa za diamond?
Ujauzito tu Jamaa akamvutia gari!

Aulize wenzie huwa inakuwaje??

Hivi si angeendelea kujificha kwenye kivuli cha mtoto kumchuna Jamaa?

Wadada bwana akili zenu mnazijuaga wenyewe!!
Recognition baba,,, walipiga sana kelele humu oh sio vizuri sijui na nini akapewa bichwa sana insta. Na akili yake ndogo sasa atkoma kuringa biashara zilivyo tyt sahivi atatia akili tu.
Wakati angechill angekuwa anabunya tu kimya kimya.
 
Hamisa Mobeto, ni akisi la warembo wenye kupenda umaarufu. Pamoja na kutaka sifa za kijinga, hakika huishia kuanguka haraka sana.

Binti huyu aliuanza uhusiano kwa siri, hivyo ilimpasa hadi hapo aendelee kuwa namna hiyo. Ndiyo angeweza kufaidika zaidi na hata Mond angeweza kuja kwake alale naye na mtoto, ila yeye akashikiwa akili matokeo ni hayo. Kama alikubali kuvuliwa nguo ya ndani kwa siri kwa miaka kadhaa, kwanini hilo suala asingelificha.


Hapo sasa jamii ishamgundua alitegesha mimba makusudi, masikini Hamisa aliwaza mimba ndiyo inaweza kumvuta mwanaume. Akijua anaweza kuja kwake, matokeo anajibebea gunia la aibu.



Huyu dada ni kashikiwa akili, hawazi mwenyewe bali kuna watu humuwazia. Mwanamke wa aina hii, labda mwendawazimu ndiyo ataoa. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke wa aina hii, ingekuwa Zari ana akili za namna hii hilo tendo la kujua kazaa na mwingine basi angeweza kupewa maneno akavunja uhusiano. Bahati nzuri yule anajielewa, ndiyo maana jamaa hatoki
Hii ndio aina ya mwanamke ambae sitahitji hata anisogelee...Nashukuru mungu katika wote niliowahi toka nao sijawahi pata chapa mobeto!
 
kwa kuwa shauri limetupiliwa mbali tu,basi Hamisa bado ana nafasi ya kurudisha tena shauri hilo iwapo kasoro zilizojitokeza ktk kesi aliyoiwasilisha awali zitarekebishwa.

Na msikute baada ya siku kadhaa mkasikia karudi tena mahakamani...labda aamue kusamehe tu kuhofia aibu/vichambo vya wadau nguli wa social media..SHILAWADU in particular!
Ahahahha et wadau nguli wa social media
 
Hopeless kabsa.Kwa hili anajichoresha bora ashushe tu hilo dau.Naona karudisha tena shaur mahakaman tusubiri majibu tena.
 
Kwa hiyo Mobeto hesabu zake za kuzaa na Diamond ilikuwa siyo kwa mapenzi, bali amtumie mtoto kama kiingizo cha mapato. Basi hapo kaula wa chuya!
 
Recognition baba,,, walipiga sana kelele humu oh sio vizuri sijui na nini akapewa bichwa sana insta. Na akili yake ndogo sasa atkoma kuringa biashara zilivyo tyt sahivi atatia akili tu.
Wakati angechill angekuwa anabunya tu kimya kimya.
Beauty wthi no brains boguz sasa amepata kakichaa na bado
 
Back
Top Bottom