Kisomo Ikulu Dar es salaam

Kisomo Ikulu Dar es salaam

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
10847870_581447168621578_2710188073739876213_n.jpg

10849786_581447148621580_8820414047757619002_n.jpg
 
mkuu tangu enzi za Kambarage hapo mjengoni pamefanywa mengi sana hilo waliona ni la kawaida...

Heshima kwako mtani, natamani wote tungekuwa na ukomavu wa akili na hisia kama wako.
 
Haka katoii ni kaburudishaji sura kama riz moko
 
Bora uwaambie..
Kila mmoja dini yake ni nzuri...
Kuna dini nyingi tanzania na kila mmoja anatakiwa athamini dini yake na ya mwenzie...Ikiwa kila mmoja ataiona dini ya mwenzie siyo basi hapatakalika...Ukithamini ya mwenzio na mwenzio atathamini yako..

Tuheshimiane katika dini...
Ingekuwa MAASKOFU au Madre wameenda kufanya ibada sidhani kama angesema ni mapepo machafu coz ni yake..




kuna watu wanaudini sanaa...kuitwa waslamu eti kujaza mapepo,mbona wakiitwa wachungaji ikulu hamlalamiki.
 
Ayaaa navunja urafiki na Profesa Jk, anawezaje kuitisha Kisomo bila mimi Swahiba yake kunialika?? Kanikera sana yaani kwenye escrow ndio anaiita nimshauri lakini huku kwenye ulaji ananitosa!!! Wallah nimeudhika sana
 
Hii kapuni unapenda kumkashifu mungu sana sasa kusomo huku unacheka?balaa


swissme:
 
mbona tuliambiwa serikali haina dini?mbona huyu mtu anendekeza udini sana
 
Jamani watanzania wenzangu tuache chokochoko za kudharauliana au kukejeliana sisi sote ni dugu, tusijengeane chuki, tuvumiliane kila mtu ana imani yake, hakuna anayelazimishwa kufuata imani ya mwenzake, lakini MWISHO wa yote tuna unganishwa na UTANZANIA wetu.
 
Ukisikia mtu kaua au katukana pasipo kukusudia ndio mambo kama haya...Mambo mengine yanaponza MO11 watu tunatakiwa kuheshimiana sana...Mtu anatakiwa kuwa makini sanaa...asitafute aina yeyote ya uchochezi ktk vitu hivi...DINI, KABILA bora kitu kingine...Uchokozi mdogo unaweza leta jambo usilolitegemea




hizi busara hazijatumika kujibia hapa .....!!!
 
...
Ingekuwa MAASKOFU au Madre wameenda kufanya ibada sidhani kama angesema ni mapepo machafu coz ni yake..
... kwa kuwa actually hao huwa hawatumikii pepo wachafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom