OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Too much is harmful olesaidim......
Too much of what??!!
Prayers??!!!. . . . . . . . . It is an order if you meant this
Too much is harmful olesaidim......
mkuu tangu enzi za Kambarage hapo mjengoni pamefanywa mengi sana hilo waliona ni la kawaida...
mbona tuliambiwa serikali haina dini?mbona huyu mtu anendekeza udini sana
View attachment 208941 'Wakati wa kutafuta Uhuru, Nyerere alisomewa sana hivyo visomo na Masheikh'
Angalia hii picha aliyopika na Masheikh. Ngalikihinja
Huwezi kufanananisha kufanya kisomo ikulu na msikiti wa makka ni vitu 2 tofauti kabisa.Makka ndio Makao makuu ya dini ya kiislam na ikulu ni makao ya Rais mkuu umesoma darasa la ngapi?Raha ya kufanya kisomo Ikulu ni kubwa kuliko ya Makka
![]()
Watoto bana.
Hana hata habari ya kinachoendelea ndio kwanza anabinuka sarakasi
Kiongozi akhsante sana.Katoto ka Riz1....
Hakuna mtu anayebisha kuwa Nyerere hakushirikiana na waislam na yeye mwenyewe alikiri hivyo lakini hata kama alisomewa dua na wakina Sheikh Ramiya dua hizo hazikusomwa Ikulu bali huko Bagamoyo!! Ikulu ni mahala patakatifu na sio mahala pa kufanyia shrehe za harusi kama wanavyofanya siku hizi!!
Ingekuwa busara na kupendeza zaidi kama hiki kisomo angefanyia nyumbani kwao Msoga!! Tabia hii hii ndio wanaiendeleza kwenye chama chao cha magamba kwa kufanyia mikutano yao ya chama chao huko huko Magogoni badala ya kwenye kaofisi kao ka Lumumba!!
Ngalikihinja, BulesiLeo umenielekeza kitu
leo ndio nmejua sisi wakristo ni wabaguzi.
Wakristo wenzangu mnatuaibisha sana kuwa na mawazo ya kibaguzi kama hayo maana sisi ndio wa kwanza kuanza kusema wenzetu ni wadini.
Ila najua wengi wanaochangia na kuponda uislami sio #catholic hao itakuwa ni #walokole tu.
Ndugu zangu waislamu naomba msamaa kwa niaba ya wakristo wenzangu
hivi nyerere alishawahi kusalisha jumuiya ikulu?
swala ni kwamba white house imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.
Swissme;
mbona tuliambiwa serikali haina dini?mbona huyu mtu anendekeza udini sana
mkuu tangu enzi za kambarage hapo mjengoni pamefanywa mengi sana hilo waliona ni la kawaida...
kuna watu wanaudini sanaa...kuitwa waslamu eti kujaza mapepo,mbona wakiitwa wachungaji ikulu hamlalamiki.