Kisomo Ikulu Dar es salaam

Kisomo Ikulu Dar es salaam

Mumy Rosemarie,Serikali haina dini, na pia Serikali haiamini uchawi Serikali haina dini hasa katika maamuzi yake sababu inaamulia watu tofauti katika jamii.. inatakiwa isibase katika dini yeyote...Ila kwa mtu pekee anadini..Na haiamini uchawi hasa katika maamuzi yanayohusu serikali...Ila katika watu binafsi wapo wanaoamini uchawi ...HIVI HAVIKATAZWI...Ndio maana katika kuapishwa kila mmoja anaapishwa kwa kitabu chake hata kama kingekiwa chakichawi.

Kuhusu Rais kuomba ni issue binafsi na pale ndio sehemu yake...Ni sawa na Rais yeyote angekuwa wa dini nyingine angeweza kuomba au kwenda ombewa na dini yake...pale yatakapomkabili magonjwa au jambo lolote...

Ila katika kuombea Taifa ni dini zoote zingeweza ombea...





mbona tuliambiwa serikali haina dini?mbona huyu mtu anendekeza udini sana
 
Jamani watanzania wenzangu tuache chokochoko za kudharauliana au kukejeliana sisi sote ni dugu, tusijengeane chuki, tuvumiliane kila mtu ana imani yake, hakuna anayelazimishwa kufuata imani ya mwenzake, lakini MWISHO wa yote tuna unganishwa na UTANZANIA wetu.
Swala ni kwamba WHITE HOUSE imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.

swissme;
 
Dont say that,.....Sote tumezaliwa tumekuta hizi dini.....Zinakataza maovu na kukataza mabaya..
Hujaenda huko (hujafa) ukarudi ukajasema dah nimekuta dini fulani wapo sehemu nzuri dini fulani wapo sehemu mbaya..Na hakuna alieyeenda akarudi....What i believe ni matendo yako ndiyo yatakayokuokoa...
So... We tenda mema yako. Haya ya dini kudharau dini ya mwenzio yaache coz yatakuponza...
ISHI KWA AMANI ....


... kwa kuwa actually hao huwa hawatumikii pepo wachafu
 
Raha ya kufanya kisomo Ikulu ni kubwa kuliko ya Makka
 
Swala ni kwamba WHITE HOUSE imebadilishwa kuwa sehemu ya mapepo?kwa sababu naamini jamaa yuko na ile imani ya kachezewa na sasa anajizindika ndani nyumba takatifu.

swissme;

Maombi yanaweza kufanywa popote pale iwe White House au hata nyumbani kwako, ili mradi una mwita Mchungaji au Shek kuja kukeamea na kukuombea . Kumbuka pia White House wanaishi watu kama wewe!
 
Teh teh teh pole sana dada tunajua kua wewe ni Islamphobic.

serikali haina dini ila watu wake wanadini.Ndo huwa unaona kwaya zinapigwa maofisi ya serkali,huo sio udini kwako

Ukome kuchukia Uislam kama ulivyokoma titi la mamayako.

safi sana.Big up.
 
Leo ndio nmejua sisi wakristo ni wabaguzi.
Wakristo wenzangu mnatuaibisha sana kuwa na mawazo ya kibaguzi kama hayo maana sisi ndio Wa kwanza kuanza kusema wenzetu ni wadini.
Ila najua wengi wanaochangia na kuponda uislami sio #Catholic hao itakuwa ni #walokole tu.
Ndugu zangu waislamu naomba msamaa kwa niaba ya wakristo wenzangu
 
Mbona matusi? kusali ni popote kama tu haifanyi kama official event. hapa tatizo ni waandishi kulifanya jambo hili ni official kumbe ni kawaida tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom