TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Mkuu kwa sasa hatuwezi kujua kama anautashi au raha kwa sababu kilichopo mbele yetu ni picha tu!Kama ana UTASHI basi ni BINADAMU.
Mkuu kwa sasa hatuwezi kujua kama anautashi au raha kwa sababu kilichopo mbele yetu ni picha tu!Kama ana UTASHI basi ni BINADAMU.
Hakukufundisha pia wanyama nao wanamakundi yao au wewe ndiyo hukumuelewa vizuri?Mwalimu wangu wa Biology alinifundisha, kuna makundi 2 makuu ya viumbe hai:
1. Wanyama
2. Mimea
Mkuu kumbe kunamapopobawa ya kike siku hizi?Anaitwa dogy mtu,,,,,au ni popobawa,mamaa nimemuona popobawa
Mkuu hii imekaaa kama picha ya kutengeneza!mmh amelala sehemu nzuri namna hiyo? ni nini hicho?
Ni mnyama sawa! je anaitwaje mkuu?mnyama
Precisely mkuu!Digital combo !!
Mkuu hili ndiyo swali gumu,ambalo kupata jibu lake si laisi kwa sababu huyu ni mnyama mpya hapa duniani!anaitwaje sasa huyu mnyama jamani?
Dume lake mkuu!Basi huyo kitmbe mwenzake ndo tujue anaitwaje..
Kisayansi, hata binadamu ni mnyama!!!!!!!
Tiba
Maana yake nini?wengine hatujui kiarabu!Allahuakbar
je huyu nı bınadamu au nı mnyama?
![]()
'well said,a human being is an animal too hivyo MziziMkavu ukiuliza huyu ni kiumbe bdam au mnyama NO coz hata bdam pia ni mnyama mkuu je vipi kuhusu P.O.P.O unaweza ukasema yee ni MNYAMA au NDEGE mkuu...?'
Umeelewa vizuri kichwa cha habari? Wewe uliyeelewa vizuri niambie ni kundi gani kati ya hivyo viwili?Hakukufundisha pia wanyama nao wanamakundi yao au wewe ndiyo hukumuelewa vizuri?
Maana yake nini?wengine hatujui kiarabu!
Ni mnyama sawa! je anaitwaje mkuu?
Re: Kisia huyu ni kiumbe binadamu au mnyama?
Popo ni mnyama anayeruka kama ndege, kigezo kikubwa ni kuzaa watoto wazima wakati ndege utaga mayai. Nakumbuka sayansi yangu ya darasa la nne hiyo!!!!!
Tiba
Mwalimu wangu wa Biology alinifundisha, kuna makundi 2 makuu ya viumbe hai:
1. Wanyama
2. Mimea
Mkuu mbona unataka kujibu swali ambalo halikuulizwa humu? Swali lilikuwa "huyu kiumbe ni mnyama au binadamu"? Ungefikiri ki-GT ungeanza kwanza kukosoa muuliza swali kabla ya kuchallenge majibu ya GT's humu jukwaani.Ni mnyama sawa! je anaitwaje mkuu?
Well said Mkuu Samaritan.Kwa hiyo mkuu kwa kuwa kuna makundi mawili ya viumbe (Mimea na wanyama) na kwa kuwa binadamu yupo kwenye kundi la wanyama na huyu kiumbe yupo kwenye kundi hilo la wanyama, tunaweza sema huyu ni mnyama ila sio binadamu.