Kisia huyu ni kiumbe binadamu au mnyama?

Kisia huyu ni kiumbe binadamu au mnyama?

Allah = Mwenyezi Mungu
Akbar = Mkubwa

...hiyo ndio maana yake unajua kuna MWENYEZI MUNGU na MUNGU sasa hii MUNGU ikiwa miiiiingi huitwa MIUNGU sasa hawa MIUNGU wapo wengi tu huitwa MUNGU lakini MWENYEZI MUNGU ni mmoja na hakuna MWENYEZI MUNGU au MWENYEZI MIUNGU hapana ni MWENYEZI MUNGU wa watu wote na YEYE ndo aliyetuumba,hana BABA wala MAMA na HAKUZAA wala HAKUZALIWA na hafanani na KITU CHOCHOTE kile,huyu ndio ALLAH AKBAR'
Nashukuru mkuu,nimeelewa sasa!
 
Nilimjibu mtoa hoja mkuu wangu. Huwa niko makini sana kwenye majibu ndio maana hata kwa mama Ndalichako nilipeta kwa kishindo......
Mkuu mbona unaonekana unamakuu sana,sasa mambo ya kujibu vizuri kwa mama ndarichako yanakujaje?
 
Bilashaka atakua Mbuzi katoriki huyo!!!!!
 
Binadamu ni subset ya wanyama (Binadamu wote ni wanyama ila sio wanyama wote ni binadamu)
Hapo sasa ndio patamu maana ndiyo tunaingia kwenye zile Falme za Wanyama (Animal Kingdoms). Kuna watu wengine humu walivamia swali langu la awali na kunichallenge kwamba sikuelewa Biology vizuri.

Labda wangeniuliza ningewachambulia kwa undani zaidi hizo Falme za Wanyama na sifa zake kila moja. Lakini kwa kuwasaidia tu, zipo 5:
1. Animalia
2. Birds
3. Protozoa
4. Protoctista
5. Monera
 
Kwahiyo wewe ni mnyama? Tuonyeshe mkia.

Yes kila binadamu ana mkia ingawaje haujitokezi hadharani kama wa kima. Jishike mwisho wa uti wa mgogo karibu na "nyuma" kwako utausikia kwamba upo.

Tiba
 
Yes kila binadamu ana mkia ingawaje haujitokezi hadharani kama wa kima. Jishike mwisho wa uti wa mgogo karibu na "nyuma" kwako utausikia kwamba upo.

Tiba
Hii Sayansi ya binadamu wakwanza alikua nyani, tena mbaya zaidi alikua ni Muafrika hua siikubali hata kidogo.
 
Hii Sayansi ya binadamu wakwanza alikua nyani, tena mbaya zaidi alikua ni Muafrika hua siikubali hata kidogo.

Lakini mimi hakuna niliposema hapo mwanzo binadamu alikuwa nyani, nina imani binadamu aliumbwa kama alivyo, na nyani aliumbwa kama alivyo ingawaje hakuna mabaki ya binadamu wa sasa yaliyoishagunduliwa so far, unless sijui.

Tiba
 
Si binadamu na si mnyama ni picha ya kuchorwa tu
 
Allah = Mwenyezi Mungu
Akbar = Mkubwa

...hiyo ndio maana yake unajua kuna MWENYEZI MUNGU na MUNGU sasa hii MUNGU ikiwa miiiiingi huitwa MIUNGU sasa hawa MIUNGU wapo wengi tu huitwa MUNGU lakini MWENYEZI MUNGU ni mmoja na hakuna MWENYEZI MUNGU au MWENYEZI MIUNGU hapana ni MWENYEZI MUNGU wa watu wote na YEYE ndo aliyetuumba,hana BABA wala MAMA na HAKUZAA wala HAKUZALIWA na hafanani na KITU CHOCHOTE kile,huyu ndio ALLAH AKBAR'
quote_icon.png
By TUKUTUKU
Maana yake nini?wengine hatujui kiarabu!

Wandugu wapendwa,Waheshimiwa mlokirimiwa ubora wa viumbe vyote; Asalaam Aleykum ujio wangu mwema kwenu...ningependa kuongeza kidogo yakuwa hao "miungu mingi" hua inakufaga na wapo walokufa na watakuja wengine nao watakufa KM;- Mungu wa kiBudhaa(sanamu/temthali)mungu wa hidus (Cow) Mungu wa Nature, Mungu mwanga(sun,Moon) Mungu moto,Mungu jiwe nk. hao wakupita......!
Kwa hiyo Mwenyezzi Mungu ni mmoja yeye ni Hai (uhai ni wake) hafi wala hapitiwi na ndiye mwenye ufalme wote na kumiliki kila kitu.
Allah Akbar.
 
Hii Sayansi ya binadamu wakwanza alikua nyani, tena mbaya zaidi alikua ni Muafrika hua siikubali hata kidogo.
Sssa hapo unataka kuchanganya Biology na History. Rudi kwenye michango inayoendelea.
 
Lakini mimi hakuna niliposema hapo mwanzo binadamu alikuwa nyani, nina imani binadamu aliumbwa kama alivyo, na nyani aliumbwa kama alivyo ingawaje hakuna mabaki ya binadamu wa sasa yaliyoishagunduliwa so far, unless sijui.

Tiba
Huyu anataka kukimbia hoja iliyopo pengine ameona inaelemea kwake. Msamehe bure.
 
Huyu amechorwa tu kwa ustadi wa hali ya juu na picha zikawa mixed na hakuna mnyama wa namna hii. Zipo software maalum ambazo zinaweza kutumiwa kwa ustadi na kutengeneza kitu cha ajabu. Hebu angalia sinema ya Jurasic Park unaweza sema ni ya kweli.
 
Huyo ni mdoli wa kutengeneza tu si kiumbe hai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom