Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,902
je huyu nı bınadamu au nı mnyama?
![]()
Mkuu umenichekesha sana!wewe ulishawahi kuliona jini?Huyu siyo binadam wala si mnyama ni jini.
Mkuu mbona miguu na mikono yake ni kama ya binadamu?Mbwa wa majuu kwa wwnzetu.
Kiumbe mwenzake ambaye ni wa jamii moja naye lakini wanatofautiana jinsi tu!Mie swali langu ni "nani alimpa mimba hiyo na kuzaa hao watoto"!??
Kiumbe mwenzake ambaye ni wa jamii moja naye lakini wanatofautiana jinsi tu!