Kisia hawa watu watu watakuwa wanaulizana nini?

Hapo ndo umemaliza kamusi yako ya matusi......
Dooh pole sana, shida kweli watoto wa kota, utaaibika bure hapa Kasie mtoto wa uswahilini matusi yote ya dunia hii yalikuwa ndokifungua kinywa angalia kamasi zisikudondoke huku leso umeishikilia mkononi.

Haya nenda katawaze ulale fastaa kabla hujashushiwa kipondo na uswazi team.
Baaaaaassss Bi Mother Kumbuka Kuna Mwanao Hapa

Msamehe Tuu
 
Nimeamin vichaa wapo mitaani..yani mm naandika manen hayazidi matatu ww unaandika 30..yani unapoteza muda wako kunijb..ungejua mi naandika tu nimejisikia tu..kiazi kweli ww
 
Baba Kanikataza Kaniambia

J5 Walai Nakwambia Kesho Kaniambia Yupo Busy

Thatha Sijui U Busy Ni Kutokana Na Wew Unakuja Ivyo anaitaji Muda Mwingi Wa Kukaa Na Bi Mother

Hahahahahahahahaaa wee mwana wewe una mamboo? Wacha mie niende kesho halafu jumatano pia tutaenda wote hehehehehehehehee.
 
Baaaaaassss Bi Mother Kumbuka Kuna Mwanao Hapa

Msamehe Tuu

Unajua kuna watu wanakuwaga na nyege halafu pa kuzitolea hawajui matokeo yake wakiona kikombe wanaita mma utasema kila mtu ni mama yao.

Halafu mijitu ya hivo iko mingi sana humu naitizama tuu, ila aibu kwao mwanaume mzima hajiamini anatumia ID mchepuko kuchokoza kambi.

Bahati tuu umenizuia vinginevyo.... angerudia ID yake ya siku zote aje ajikanyage kanyage hapa

yee akisikia Kasie mahaba basi akajua atapata mabusu busu looh.

Mwambie asirudie tena, siku ingine ntamvutisha hii misuba ninayo kula.

Kasie Matata.
 
Hahahahahahaa
Sijui ni nyote yangu ndo huwa inawavuta au madini niliyonayo ndo yanawawavuta.... hata sielewi......

Kiufupi kati ya wanaume 10 wanaonifata tuwe na mahusiano ya kimahaba 9 kati yao wako vizuri na ni watu wenye pesa zao za maana.

Ndo maana nabaki kupenda denda tuu.... hii ni kwa upande wangu maana makaratasi nshayazoea hayanistui sanaa
Unapenda mini best hahaaaa
 
Yote hapo juu sio hata sidogo.

Sijichanganyi na wenye nazo wala sina chura ila huwa wananitafuta wao kwa kuniona mahali kisha wanaulizia contact zangu na wananitafuta.

Niko mzee wa 47 years huko chura sina basi tuu hata mie sielewagi...... ndo maana nikasema labda madini niliyonayo mwilini au nyota yangu ndo inawavuta......

Kesho nikienda kwa mshana jr ntamuomba anielezee ni nini haswaa.
Kumbe kijana 47
 
Ukitulia na mke mmoja katika ndoa takatifu lazima upstairs uwe safi.
hahaha, nani hajatulia na mke mmoja aisee, afu mke wa uhuru ana furaha ajabu tofauti na wake za marais wengine africa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom