Kisia hawa watu watu watakuwa wanaulizana nini?

dah, ila uhuru aisee ana reception ya kilevilevi? hivi mtoto wa rais, hata jkt ya kwao hakwenda, hafananii kabisa kuwa amiri mkuu...legelege, ameinama kilevilevi fulani hivi! pamoja na kwamba anapiga kazi kuliko wasio walevi na ana akili kuliko....
Ukitulia na mke mmoja katika ndoa takatifu lazima upstairs uwe safi.
 
I Will tell you while we are dancing that song

Hahahahahhahaaa wee Prince weweeee hehehehehhehee

You got my codes eeh... catch you there, sure I will dance and sing.... hahahahahahahhaa utakomaje na huu uzee wangu utakuwa na kazi ya kunishikia mkongojo wakati nacheza aahahahahahahahaa looh.
 
I can take care of you

But Kasie...you don't sound like that old..
Siku zote wanawake wanaosema public kuwa wao n wakubwa basi wanakua sio
 
I can take care of you

But Kasie...you don't sound like that old..
Siku zote wanawake wanaosema public kuwa wao n wakubwa basi wanakua sio

Hahahahahhahahaaa looh so it's you...... Mmmhhhh I see.....

Kasie is an old granny but funky that's why many people say that am not that old but am on my late forties.... it's not a joke I have 2 years to turn 50.... This is true am not lying.

Other ladies out there may lie but not Kasie esp on age.

So, can you really handle a grand ma....? You'll easly get tired of her as she is so stubborn. ...

That's why she is called Kasie Matata.
 
Me niko hapa nafuatilia hili movie la casie na kunta sijui habari ya fredom wala rt
 
Hahahahahahaa
Sijui ni nyote yangu ndo huwa inawavuta au madini niliyonayo ndo yanawawavuta.... hata sielewi......

Kiufupi kati ya wanaume 10 wanaonifata tuwe na mahusiano ya kimahaba 9 kati yao wako vizuri na ni watu wenye pesa zao za maana.

Ndo maana nabaki kupenda denda tuu.... hii ni kwa upande wangu maana makaratasi nshayazoea hayanistui sanaa
Mavi ya kuku...
 
Mule mule muoga fisi, zungumza kwa sauti ya kiume sio unagunaguna kama umekabwa na nyama kooni unaishia kiweka herufi tuu hehehehhee uchokozi unaupenda ndondi huziwezi.

Haya siku ingine usirudie tena kudandia treni ukafikiri inaenda Tanga, hii ni reli ya kati kituo Tabora mwisho wa reli Kigoma inagota.

Kasinde Motto.
 
Kishuzi for real...
 
Hahahahahhahaa wee nshakuona kesho utatega kazini wewe na utaibuka maili moja hahahahaa.
Baba Kanikataza Kaniambia

J5 Walai Nakwambia Kesho Kaniambia Yupo Busy

Thatha Sijui U Busy Ni Kutokana Na Wew Unakuja Ivyo anaitaji Muda Mwingi Wa Kukaa Na Bi Mother
 
Kishuzi for real...

Hapo ndo umemaliza kamusi yako ya matusi......
Dooh pole sana, shida kweli watoto wa kota, utaaibika bure hapa Kasie mtoto wa uswahilini matusi yote ya dunia hii yalikuwa ndokifungua kinywa angalia kamasi zisikudondoke huku leso umeishikilia mkononi.

Haya nenda katawaze ulale fastaa kabla hujashushiwa kipondo na uswazi team.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom