Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 159
- 233
Hiki kikundi cha wasiojulikana kisipothibitiwa basi kama nchi kuna-hatari kubwa sana ya kutokea yale yaliyotokea sudani yaani kinaenda kuwa paramilitary wings
Tokea utawala wa jiwe alitengeneza kikundi cha wasiojulikana na kilikuwa kinafanya kazi zifuatazo ambazo mpaka sahivi kinaendelea
Kwa utegemezi huu wa kikundi cha wasiojulikana kwa watawala wa chama kavu basi ni wazi mda sio mrefu wasiojulikana wataanza ku-dictate terms zao kwa watawala na hii ni hatari sana kwa sababu kama mtawala wa chama chakavu huna budi kukubaliana nao ili utawale nchi kwa amani
Unakubaliana naje ni kuwaruhusu wao kufanya chochote kile ndani ya nchi ili waweze kukulinda kama mtawala na watakuwa wanafanya mambo yafuatayo
Hata mzee wa msoga na bi tozo hawako safe sababu watu wasiojulikana wakiwa na nguvu hata wao watawageuka wajifunze namna RFS walivyomgeuka boss wao omar al bashiri baada ya kuwa na nguvu

- Kuiba kura kwenye chaguzi zote mpaka za serikali ya mtaa
- Kuwashughulikia wapinzani wako ndani ya chama chako na nje
- Kuwatesa wapinzani wakati wa uchaguzi
- Kukusanya kodi kupitia task force
- Kuwanunua na kuwanyamazisha wapinzani wako kwa kuwapa au kuwaahidi fedha kama option ya kwanza
Kwa utegemezi huu wa kikundi cha wasiojulikana kwa watawala wa chama kavu basi ni wazi mda sio mrefu wasiojulikana wataanza ku-dictate terms zao kwa watawala na hii ni hatari sana kwa sababu kama mtawala wa chama chakavu huna budi kukubaliana nao ili utawale nchi kwa amani
Unakubaliana naje ni kuwaruhusu wao kufanya chochote kile ndani ya nchi ili waweze kukulinda kama mtawala na watakuwa wanafanya mambo yafuatayo
- Kuiba rasilimali
- Kufanya biashara harama ndani ya nchi
- Kuchukua kodi wao kama wao kwa wafanyabiashara kwa exchange ya ulinzi