Kisia hawa watu watu watakuwa wanaulizana nini?

dah, ila uhuru aisee ana reception ya kilevilevi? hivi mtoto wa rais, hata jkt ya kwao hakwenda, hafananii kabisa kuwa amiri mkuu...legelege, ameinama kilevilevi fulani hivi! pamoja na kwamba anapiga kazi kuliko wasio walevi na ana akili kuliko....
Eti legelege? Ameinama kivipi? U.K alikuwa mchezaji hodari wa raga bana. Shida walevi wa peni mbili kama wewe huwa mnadhani kila mtu huwa anakunywa mbege na wanzuki za ofa na pombe expired. Shika adabu zako kijana. Heshimu rais wa watu wewe.
 
Ungeuona wangu, ungening'ang'ania kumbe

Kweli eeh. .... basi itabidi usababishe hakyanani.....

Naona sikomiii hakuna namna acha ning'ang'anie tuu......

Denda na Kasie. ... Kasie na denda.... damu damu.

Ever Smiling Kasie.
 
Kweli eeh. .... basi itabidi usababishe hakyanani.....

Naona sikomiii hakuna namna acha ning'ang'anie tuu......

Denda na Kasie. ... Kasie na denda.... damu damu.

Ever Smiling Kasie.
Hahaaaa ngoja nikuje Tabora maana hakuna namna
 
Eti legelege? Ameinama kivipi? Shida walevi wa peni mbili kama wewe huwa mnadhani kila mtu anakunywa mbege na wanzuki za ofa na pombe expired kama nyie. Shika adabu zako kijana. Heshimu rais wa watu wewe.
mbona umekasirika kama vile nimekutukania mume wako?
 
Ndugu Mzazi/ Mlezi

Uongozi wa shule unakukumbusha kuwa mtoto wako hataruhusiwa kupanda basi la shule wala kuingia darasani kama hujalipa ADA
 
mbona umekasirika kama vile nimekutukania mume wako?
Huyo ni rais wa Kenya na mimi ni mkenya. Kumbe kazi ni kujaza server tu? Afu huku Kenya wanaume huwa hawaoani wenyewe kwa wenyewe bana, nyie ndo mnajiitaga mabrazadu nini?
 
Huyo ni rais wa Kenya afu mi ni mkenya. Kumbe kazi ni kujaza server tu? Afu huku Kenya wanaume huwa hawaoani wenyewe kwa wenyewe bana, we brazadu nini?
No brother, gentleman hawezi kumtetea mwanaume mwenzie namna hiyo. au unatoka Mombasa? hata mwanamke huwa hamtetei mwanaume namna hiyo, wee naona umevuka mpaka wa kupenda, umependa kama vile yeye ni mume wako. Kenya si ndo kuna mapunga wengi kuliko hata tz...you have greater number of homosexuals than any east african country...and you might be one of them!
 
Punguza jazba aliyekuambia nimetoka Mombasa ni nani? Endeleza agenda ya machoko wenzako kwa upole jombaa. Eti brother, mara gentleman, tokomea gizani na kiingereza chako.
 
Punguza jazba aliyekuambia nimetoka Mombasa ni nani? Endeleza agenda ya machoko wenzako kwa upole jombaa. Eti brother, mara gentleman, tokomea gizani na kiingereza chako.
nimekuambia, nilivyomsema vibaya uhuru, umekurupuka kumtetea utafikiri nimekutukania mume wako, hivi mwanaume rijani unaweza kumtetea mwanaume mwenzio namna hiyo? ninyi si ndo mashoga tusiowataka hapa bongo, dawa yenu kuwapiga risasi tu nyie machoko. simbilisi mbuzi kasoro mkia we.
 
Wewe itakuwa una frastreshen zako tu. Aliyekuambia nipo Bongo ni nani? Mimi nilimtetea rais wa Jamhuri tukufu ya Kenya baada ya wewe kusema amelegealegea na 'ameinama'. Hapo uliposema ameinama sikuelewa lakini. Nilimtetea kutumia 'facts', kwamba yu buheri wa afya na alikuwa mchezaji hodari wa raga. Hilo pia unabisha? Hapo nilifanya jukumu langu kama mkenya mzalendo. Mambo ya ushoga wewe ndo umeyaleta. Hata kama hangekuwa rais wa Kenya, kinachokujia akilini mwanaume anapomtetea mwanaume mwenzake ni ushoga tu? Huna kaka wala baba wala wajomba? Acha kupigia promo maneno ya kipuuzi. Afu kiswahili chako kimenikanganya kidogo. Rijani na ninyi ndo zinamaanisha nini?
 
Pesa madafuu

Pesa sabuni ya roho

Kwatuu mahaba murua, japo Kasie makaratasi huwa hayamhadaishi kama denda..... midomo ya denda tuu Kasie hoiii
Hahaa

Sasa ya nn uakafuate hiyo midomo Kenya wakati mm ninao kasie ukuje mama love is too huge on me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom