Kisia hawa watu watu watakuwa wanaulizana nini?

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,555
12,675
FB_IMG_1514804884530.jpg
 
Pesa tu ndo mchawi mamaa, hiyo midomo huwa mnasema tu kujifurahisa nafsi

Hahahahahahaa
Sijui ni nyote yangu ndo huwa inawavuta au madini niliyonayo ndo yanawawavuta.... hata sielewi......

Kiufupi kati ya wanaume 10 wanaonifata tuwe na mahusiano ya kimahaba 9 kati yao wako vizuri na ni watu wenye pesa zao za maana.

Ndo maana nabaki kupenda denda tuu.... hii ni kwa upande wangu maana makaratasi nshayazoea hayanistui sanaa
 
Basi yaonekana upo vizuri au unajichanganya sana viwanja vya wenye nazo...

Au

Labda chura mashallah
 
Yote hapo juu sio hata sidogo.

Sijichanganyi na wenye nazo wala sina chura ila huwa wananitafuta wao kwa kuniona mahali kisha wanaulizia contact zangu na wananitafuta.

Niko mzee wa 47 years huko chura sina basi tuu hata mie sielewagi...... ndo maana nikasema labda madini niliyonayo mwilini au nyota yangu ndo inawavuta......

Kesho nikienda kwa mshana jr ntamuomba anielezee ni nini haswaa.
 
Aisee!

Na hao wanaokufuata ni vijana au old skul wenzio?

Unakula vichwa tu (MILF)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom