Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

Ndugu Mwalla tunashukuru kwa taarifa ya uchambuzi wako wa CAG katika katiba yetu, naomba utasaidie na hii hapa chini.
Nini uwajibikaji na uwajibishwaji wa spika wa bunge na naibu wake?
Mkuu Vumilika karibu pande hizi
P
 
Pascal ..ngoja nikuulize apa na naomba unijibu tu.Unaposema principle ya Rule of Law..kuwa hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria moja ya tafsiri ni kuwa kila mtu ana hukumiwa na sheria na kila mtu pia anawajibika mbele ya sheria pamoja na kufikishwa mahakamani.
Kwa maana hiyo apa nchi hamna kitu kama hicho maana ibara ya 46 katiba ya JMT imetamka vizuri kuhusu rais..Immunity from Criminal Proceedings.. maana inamtoa rais kuwajibika na sheria .
Sasa tuwekane vizuri ,kwanini rais anawekewe hiyo kinga wakati naye ni binadam ,mwananchi na anakula kiapo cha kuilinda Katiba ila akiivunja awajibiki.
Kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk hali ya kawaida bila kujali sheria au katiba.
Aliyoyafanya spika ndugai mbele ya uma wa watanzania, anastahili kuongoza muhimili huu muhimu kwa nchi yoyote duniani?
Kamati ya mwakwembe haikuona ufisadi wa lowasa kuhusu kashfa ya Richmond.
Lakini kwa kuwa waziri mkuu ni Mtendaji mkuu wa serikali AJITATHIMINI JE ANASTAHILI KUENDELEA NA WADHIFA HUU.

WITO KWA NDUGAI,
AJITATHIMINI, KWA MAZIMIO NA UFAFANUZI,BATIRI NA KUTOKUSIMAMIA KAULI ZAKE JE ANAFAA KUENDELEA KUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga Mkono Hoja...
P
 
Paskali; una hoja nzuri sana lakini bado hata kwa hoja hii naweza kusema ni "too hypothetical "! but sir, get me right; Kikatiba uko sahihi, spika anaweza kuondolewa lakini ukirudi upande wa hali halisi na jinsi siasa za Tanzania zilivyogeuka maigizo; mtu mzima yuko tayari kusema haya maziwa ni meusi wakati anayaona kwamba ni meupe! Kinachofanyika hapa kwa sasa ni political expediency, kulindana, party caucus politicking, kutetea maslahi ya kikundi badala ya maslahi mapana ya taifa; kwa mantiki hiyo itakuwa ndoto wabunge wa ccm kwa wingi na umoja wao wakubali na kuipitisha hoja ya kumuondoa spika Ndugai!
Hii ni hoja ya kufikirika tu kwa maana hiyo, though in an ideal scenario; ndio spika anaondosheka vizuri kabisa, lakini sio kwa siasa za Tanzania kwa sasa where the rule of big numbers is the norm rather than the exception instead of LOGIC and broader national interests.
 
Pascal bwana yaani unaandika kama umetoka Kwimba jana , Spika wa CCM, sasa unataka kutuambia eti CCM ijishugulikie yenyewe?? Anayofanya Spika ni msimamo wa chama na ndiyo maana Katibu Mkuu yupo kimyaaaaa!!

Yaani hii ni zawadi tu kwa watanzania kuwa na CAG mcha Mungu; kwani angeamua kujiunga nao ingewaje?

Mungu ajuoe nguvu zaidi CAG, kazi yamo ni ngumu mno kuliko hata ya Lissu.
 
Hii sakata wakuu wangu wa jf ni kubwa sana kuliko mengine yote.
BUNGE ni chombo cha wananchi cha kusimamia serikali kwa manufaa ya mtanzania mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Mahali ambao tunategemea patunge sheria zituongoze na kutulinda.
Mahali ambao panapitisha matumizi ya pesa zetu.
Spika asijua matakwa ya katiba na sheria.
Spika asiongozwa na KANUNI na ustaraabu.
Spika asiye na maadili ya kispika na kibinaadam.
Spika aliyelewa madaraka ambayo hakustahili kuwa nayo.
Anatuletea upumbavu kwenye chombo chetu muhimu kabisa kwa maendeleo yetu!
HAKIKA NDUGAI AJIUZURU.
AG AJIUZURU, MAANA AMESHINDWA KUMSHAURI SPIKA.
IKIBIDI NAFASI YA SPIKA BAADA YA UCHAGUZI MKUU TUPIGE KURA YA SPIKA ,HII ITASAIDIA SPIKA KUEGEMEA UPANDE MMOJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Mwambe alitangaza kujivua uanachama wa cdm.

..Na cdm wamemuandikia Spika kuwa Mwambe siyo mwanachama wao.

..Spika amedai hakubaliani na barua ya cdm kwasababu haionyeshi kikao kilichokaa na kumvua uanachama Cecil Mwambe.

..CDM wanadai hawakuwa na haja ya kuitisha kikao kwasababu suala la Mwambe halikutokana na makosa ya kinidhamu, au kufukuzwa, bali ni Mwambe mwenyewe ameachana na CDM na kujiunga na CCM.

..Cecil Mwambe baada ya kusikia kuwa ameitwa bungeni, amesisitiza ktk vyombo vya habari kwamba yeye ni mwanachama wa CCM.

..Katika mazingira hayo Spika anatakiwa kushauriwa vizuri asije akaharibu historia ya bunge letu kwa kumruhusu Cecil Mwambe kuingia bungeni.
Mkuu Joka Kuu, naunga mkono hoja yako.
I hope atashauriwa vizuri, vinginevyo...
P
 
Spika akileta maloloso, anaweza kuondoloewa kwa azimio la wabunge.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kifungu 84,7(d)

(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya
Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na
Wabunge amabo idadi yao haipungui theluthi mbili ya
Wabunge wote; au.........

Haya wabunge jipimeni na mumpime Spika.
Anatosha?
 
Ikishindikana watumie mbinu kama waliyotumia kwa Azory Gwanda au Ben Saanane. Wasifanye uzembe kama walivyofanya kwa Tundu Lissu
 
Spika akileta maloloso, anaweza kuondoloewa kwa azimio la wabunge.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kifungu 84,7(d)

(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya
Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na
Wabunge amabo idadi yao haipungui theluthi mbili ya
Wabunge wote; au.........

Haya wabunge jipimeni na mumpime Spika.
Anatosha?
Kwa kiwango cha hili bunge Ayubu anatosha
 
Back
Top Bottom