Kisbo imepitwa hapa mapema tu!



Wote hatunufaiki na utawala huu kama wewe.

Hapo kwenye tax 30,000 weka 400 daladala ,chakula 30,000 weka 5000 , gesti 30,000 weka 10,000 .

Mwisho ndege tunaogopa viberiti vyetu vya moyo.

Acha waswahili tufurahie ligi ya mabus njiani ,ndo raha yake ya kututolea stress ,mtasema ajali hata ndege zinapata ajali au unaweza fika airport ukapanda tax yako na mkapata ajali vile vile .

Vipi route ya Dar to Mbeya bado Newforce wanakimbiza?
 
cku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga Dom
Sijamaanisha inaenda dar. Sina uhakika km ipo ya kwenda. Nilichokuwa namaanisha ukimbiaji wa gari haijalishi inaenda dar au la km ni njia moja hata km inaishia shinyanga, itawaacha mbali. Kuna kipind nilipanda kutoka singida to mwanza.
 
Mlipitwa na Frester Zongtong Climber na si Master. Na inaenda bukoba
 
Tarehe za kufunga mahesabu ya mwaka unalilia gari inayosindikizwa na ziraili, mbona ndege zipo
 
Mkuu kama vipi piga chini hilo subiri Mohamed Trans au Hood kama lipo! Hapo Dar kufika ni keshokutwa kwa raha zako yaani hata rushwa hawatoi wale jamaa na ujiandae kufaulishwa muda wowote kabla ya kufika sekenke. Bon voyage
 
Kifo kinakunyemelea kwa ushabiki, mwambie dereva aongeze mafuta, halafu mpenyezee konyagi ya kupima kwenye maji ya kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…