Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

mkuu kwa namna gan nchi inaweza kufila?!
Kuna mghamba na asante rabi za arusha ni noma sana mkuu

Ungepanda kitu kimoja kinaitwa super samy hakika usinge juta
 
Kisbo ni usafiri wa uhakika na naamini kufikia saa 7 usiku utakuwa Dar, usiangalie umepitwa na basi ngapi njiani
 
mboba umeanza kujihami mkuu. Sisi dada zenu ndo tunawajua vizuri kaka zetu wa Dar msotaka kusimama kwenye daladala eti mnachoka wakati kuna mama na tumbo kubwa la ujauzito kasimama.
na kwenye game wakoje hao kaka zako wa dar!
 
isha chinja sana ndo maana imekuwa chata kwa polisi kila wakiiona
 
Mkuu Acha mchecheto Hiyo Master City kabla ya nzega mtakuwa mmeshaipita, Tulia hivyo bado asbh huyo Dereva hajaanza kutafuna mirungi yake mbona utaipenda?? Endelea kuleta mrejesho mkuu saa6 mko ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…