Kisa uchawi, Simba yaadhibiwa tena na TFF

Hii timu inafahamika duniani kote kwa kundekeza vitendo vya kishirikina. Halafu kinachosikitisha sasa, huwa wanafanya hivyo vitendo vyao mbele ya hadhara eti!! Huwa hawaoni hata aibu.
Ubaya ni kuwa ....sifa mbaya inakuja Hadi kwetu
 
Kama ni kitendo Cha kishirikina TFF hawang'ati maneno, ndio maana Kuna vitendo vya kishirikina katika mechi za simba vimedhihirika na kutamkwa hadharani na Tff.
Kwani kwa Mzize na Kibwana Shomari waling'ata maneno?
 
Nime search Google vitendo kishirikina vinavyoweza kuathiri matokeo
1.Kupanga matokeo ya mechi mapema
2.Kutoa au kupokea hongo
3.Kushawishi maamuzi ya waamuzi
4.Kufanya vurugu au vitisho dhidi ya wachezaji, waamuzi, au mashabiki
 
Nime search Google vitendo kishirikina vinavyoweza kuathiri matokeo
1.Kupanga matokeo ya mechi mapema
2.Kutoa au kupokea hongo
3.Kushawishi maamuzi ya waamuzi
4.Kufanya vurugu au vitisho dhidi ya wachezaji, waamuzi, au mashabiki
 
Kwa hiyo wanamini ushirikina unasaidia timu kupata ushindi au una athari gani kwa timu pinzani?
Hapana Bali naona wanaogopa kuaibika kimataifa

Mfano....lile tukio la makolo kuwasha moto uwanjani.....liliiabisha TFF......Yanga ....na Tanzania nzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…