Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Sjaelewa charting maana yake nini ?

Njoo na maana ya charting , usije na povu
Black peopl in diaspora...Nahis huu msafara uliku affect sana [emoji3][emoji3]maan unang'ang'ania sana vitu vdogo viwe vikubwa
 
Sjaelewa charting maana yake nini ?

Njoo na maana ya charting , usije na povu
Watu kama nyie ndo nawapenda sana mtu hujiskii kucheka ila ukisom comment tu unaeza usiangalie comedy....Afu inaonekana unapenda ugomvi sana ww#mkeo anashida jamani najua atakuw anaishi kama dolphin [emoji850]
 
Mambo mengine ni hekima tu, sioni sababu ya wewe kuandika hayo maneno, usingepungikiwa na kitu kama ungeachana na neno Love, omba samahani, jaribu kumuelewesha na umuahidi hutorudia
 
Wewe haujawahi kuwapost wanawake wowote na kuwaandikia maneno kama hayo au yanayofanana na hayo?
 
UKIACHWA ACHIKA UKITEMWA TEMEKA
 
Ushaur wangu kwa mdau ni akuache tu maana najua yeye ndo kakupenda kuliko wewe

NB: wanaume tusipende kukubaliwa kwa huruma ndo matatizo yake haya mtu kama hakupend piga moyo konde tembea mbele
 
Wewe msichana ni mwingi (bado macho juu juu). Pia bado hujaona (You are still young). Siku ukitulia na kuelewa thamani ya uhusiano - uje uulize hapa. Kwa hint tu umesema uliiga utamaduni wa nje coz ulkua unakaa nao, kinachokushinda kurudi kwenye wako n nn?

I think kwenye hili jukwaa tunatakiwa kudiscourage hawa watoto wanaokomaa na fornication wangali wadogo. Haya mambo yatakuja kuwacost sana mkikua na kuoa/olewa. Wewe jiandae na maisha - mapenzi utakuja kuwa nayo hadi uchoke
 
Wewe haujawahi kuwapost wanawake wowote na kuwaandikia maneno kama hayo au yanayofanana na hayo?
Sjawai,siwez fanya hvo hata sku1,tunatofautiana..halaf ukiona mtoto wa kiume anapost post sanaa picha,especialy za kuwawish madem ,lazma ana vi element vya ushoga,sabab mwanaume kamil kuwa na rafik wa kike et mmeshibana,halaf asimgonge,ni nadra sana
 
Sawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…