Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,101
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...


SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA.

Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa Na utamu akaanza kupiga kelele akisema

" YESUUUUU. YESUUUUU YESUUU NA MARIA × 3.

Mpemba alivyo msikia mkewe akisema hivyo akamziba mdomo na kumwambia Kwa Sauti ya juu :

"WEWE USISEME YESUUU!!!
SEMA MUHAMAD!!!!! ( huku anapiga viuno)

# OA MTU WA DINI YAKO
 
Thread ya pili hii yenye maudhui yanayo fanana, You are after some shit, stop it, it's not our way
Get off my dvk . Usinipangie cha kupost. Maudhui ya Dini unayajua wewe?
 
Back
Top Bottom