Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Mzuqa wanaJF!

Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni.

This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level.

Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji ikitokea nchi yao kuzama.

Hakuna watu wenye uelewa duniani kuhusu climate change kama Wakiribati. Inawauma sana nchi na viongozi wa nchi zinzoendelea kutojali kuchukua tahadhari kuhusu climate change kama akina Trump.

Japo ni maskini wakiribati wameridhika na maisha yao na wanaipenda sana nchi yao na tamaduni zao.

Asili ya wakazi wa Kiribati ni polynesians ambao pia wamesambaa sana katika pacific katika nchi za

Tonga, Niue (funny name),Tuvalu, Samoa naFrench polynesia (Tahiti).

Mwanajamvi unaweza niuliza chochote kuhusu pacific islands nation nikakujibu kiufasaha kabisa na kamwe utaipata kwenye internet.
 
Umeisahau Avatiu,Fiji...nk
No fiji are not polynesian. They are melanasian and papuan origins. Though they have austronasian dialect. Vanuatu are not polynesian too.

Fijian, papuan people from marshal island, papua new guien, cook island and solomon island are not polynesian really
 
Umeisahau Avatiu,Fiji...nk
Pia ikumbukwe fiji kuna watu wa asili kutoka india walihamia huko zamani.

Nilitaka kusahau kuna new caledonia an oversea french island nation in west pacific hao pia ni melanasian people and papuan origins mji wao mkuu ni new caledonia. On september walipiga kura ya referundum kujitenga ila the remain won
 
Tupia japo kapicha mkuu tuone kanchi kao kanavyoogelea soon...
 
Tupia japo kapicha mkuu tuone kanchi kao kanavyoogelea soon...
Mkuu siyo kisiwa kimoja bali vipo visiwa vidogodogo 33 vinajenga nchi moja Kiribati. Hivi visiwa vinaitwa Atoll. Mji mkuu wa Kiribati ni Tarawa Atoll. Attol maana yake ni an island coral reef in the middle there is lagoon.

Hili ufike kiribati ni kwa njia ya meli au ndege. Usafiri wa ndege unapatikana kutoka kaskazin mwa fiji na inachukua masaa matatu.

_72722176_72722175.jpg
 
View attachment 962324
Hapa Sasa nakupata japo sijajua kinchi chenyewe kinapatikana bara gani na historia yake kwa ufupi na hasa population na na tegemeo la uchumi wao Ni Nini..

Ni hayo tu mkuu....
 
Hapa Sasa nakupata japo sijajua kinchi chenyewe kinapatikana bara gani na historia yake kwa ufupi na hasa population na na tegemeo la uchumi wao Ni Nini..

Ni hayo tu mkuu....
Okay. Kiribati ni miongoni mwa nchi zinazopatikana Micronesia ama Ocenia. Ni nchi inayojitegemea ila inatumia Australian dollar kama legal tender. Hiko katikati ya Australia na hawahii. Ni nchi ya nne kwa udogo duniani.

Idadi ya watu ni elfu 129k tu ila wakiribati kama elf 22 wanaishi newzealand.

Wenyeji wa Kiribati ni polynesians
 
Okay. Kiribati ni miongoni mwa nchi zinazopatikana Micronesia ama Ocenia. Ni nchi inayojitegemea ila inatumia Australian dollar kama legal tender. Hiko katikati ya Australia na hawahii. Ni nchi ya nne kwa udogo duniani.

Idadi ya watu ni elfu 12 tu ila wakiribati kama elf 22 wanaishi newzealand.

Wenyeji wa Kiribati ni polynesians
Siku yangu leo inapendeza asubuhi tu shukrani...
 
Waambie hao wakiribati waache masiala ,yaani idadi ya watu elfu 12 alafu wanajiita nchi,hao inafaa wajiitee kitongoji au kijiji.
 
Waambie hao wakiribati waache masiala ,yaani idadi ya watu elfu 12 alafu wanajiita nchi,hao inafaa wajiitee kitongoji au kijiji.
Wanapenda sana nchi yao. Australia umoja wa Ulaya majuzi wamepaga jeki umeme wajua solar kwani itakuwa nafuu sana kupata nishati nafuu ukilinganisha na mafuta dizel inayotumia kuendesha mitambo ya umeme.
 
Fatilia kuhusu visiwa vya Pemba na unguja vitazama lini, ili kabla hawajafanya maamuzi ya kujitenga wawe wanajua nchi yao ikizama wataelekea Kenya au somalia.
 
Kuna nchi huwa inazibuliwa sana na majanga ya kila sina Indonesia. Hawa jamaa tetemeko, volcano, tsunami vyote vyao bado maporomoko lakini wanakomaa tu.
 
Kuna nchi huwa inazibuliwa sana na majanga ya kila sina Indonesia. Hawa jamaa tetemeko, volcano, tsunami vyote vyao bado maporomoko lakini wanakomaa tu.
Indonesia ipo kwenye ukondo wa mitetemeko. Pia sisis tumuombe Mungu sana kwasababu oldonyo lengai kila ikitaka kukooa mtetemeko utokea
 
Bahati nzuri sisi tupo bara tofauti na wale ni visiwa kule kikinuka kinanuka hakuna kubeep.
Indonesia ipo kwenye ukondo wa mitetemeko. Pia sisis tumuombe Mungu sana kwasababu oldonyo lengai kila ikitaka kukooa mtetemeko utokea
 
Back
Top Bottom