Kiranga sio atheist ni non-believer

Nyie makenge ndio mna uelewa mpana ila huko juu thread yenu mlizingua sana
Karibia page 6 mnaulizana tu una akili???
Akili ni nini??

Yani kama manyau hivi
Mmoja angejibu ndio au hapana
Au mwengine angeelezea maana ya akili mngesave sana muda wa sisi tunaopitia huu uzi leo hii

Shubamiit
 
  • Kicheko
Reactions: _ID

Una akili?
 
Hapana Mshana,Kiranga is a Satanist,so he believes in Satan.Hili amelikiri.Lakini wewe naamini unamjua zaidi,kwa kuwa mnakutana kwenye kwenye maeneo.
Hili ni geni kwangu ila kama kakiri mwenyewe siwezi kumpinga ...lakini vile vile anaweza kukuchagiza Satanism ninini
 
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.

Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)

Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.

Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.

Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.

Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.

Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?

Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Kumbe in real situation hatuna ATHEIST bali tuna Non-belivers kwa waliosoma science apa tunaweza sema tuna Ideal atheist na sio Real atheist
 
Going back to square A...!!! Unaitwa nani?
😂😂😂
Mshana hili swali lako inaonekana ulilitumia huko juu
Nashuka na uzi mdogo mdogo ila kwa hili swali nahisi lilitumika kama kombora la kumpiga bwana kiranga....
Naendelea kushuka mdogo mdogo wala usiwaze nitafika mwisho soon..
Mshana jr aliejitoa kumvisha kiranga kengele..😂
 
Mshana hili swali lako inaonekana ulilitumia huko juu
Nashuka na uzi mdogo mdogo ila kwa hili swali nahisi lilitumika kama kombora la kumpiga bwana kiranga....
Naendelea kushuka mdogo mdogo wala usiwaze nitafika mwisho soon..
Mshana jr aliejitoa kumvisha kiranga kengele..
umefika wapi mpaka sasa
 
kwa dunia inavyokwenda hivi bado hamjakubali kuwa Atheist wapo sahihi maana wao wanaishi kulingana na mazingira Mshana bado huwa unaenda mpka leo kanisani 🤣🤣🤣🤣🤣 huwa nacheka sana kuna watu mpaka leo wanatoa sadaka msikistini au kanisani wakati baba ake anashinda na njaa 🤣🤣🤣🤣 wengine hawana kazi na ajira wanakimbilia kwa mwamposa wapate kazi huu si uzuzu kweli 🤣🤣🤣
Akili ni uwezo wa kupambana na mazingira ili kuweza kuyakabili mazingira yako Kiranga is right na atheist wote kutokubali akili zao kushikwa na kuendeshwa na watu
 
Mkuu avatar yako,your comment,all prove that you are a Satanist.But my advice to you is this, come down to ground zero,kiburi cha uzima kina-kinakusumbua na kitakupeleka Jehanam.Tne magnificent manner in which you are created,the superbly organized ecosystem and also how the Universe is superbly organized prove that there is an intelligent organizer,kwa hiyo huna udhuru wa kutokuamini kwamba Mungu yupo.

My last advice to you is this,ni bora ukaamini kwamba Mungu yupo halafu usimkute,you do not loose anything,kuliko kuamini kwamba Mungu hayupo halafu ukamkuta,itakuwa kilio na kusaga meno.
 
Mkuu avatar yako,your comment,all prove that you are a Satanist.But my advice to you is this, come down to ground zero,kiburi cha uzima kina-kudanganya.Tne magnificent manner in which you are created,the superbly organized ecosystem and also how the Universe is organized prove that there is an intelligent organizer,kwa hiyo huna udhuru wa kutokumuamini kwamba yupo Mungu.

My last advice to you is this,ni bora ukaamini kwamba Mungu yupo halafu usimkute,you do not loose anything,kuliko kuamini kwamba Mungu hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
Nimuamini mungu gani? embu nisaidie maana wapo wengi na wana tabia tofauti
 
Nimuamini mungu gani? embu nisaidie maana wapo wengi na wana tabia tofauti
Hakuna Mungu wengi wa kweli,wa kweli ni mmoja tu,aliyekuumba wewe,ulimwengu na vyote vilivyomo.
Najua Lucifer kakudanganya kwamba yeye ni Mungu,si kweli,he is a created being ambaye amemuasi Mungu aliyemuumba and for this he will be punished in internal hell.

You know what,Shetani
anatafuta company in eternal hell,hataki kwenda peke yake,which will include you if you accept his cheating.Kataa mkuu kuwa dragged to somewhere you do not deserve,you deserve something better :eternity life in the New Jerusalem,not hell with Satan.Satan is already condemned to eternal hell, hawezi kutubu na hawezi kukusaidia lolote spiritually,run away from him.
 
kwa dunia inavyokwenda hivi bado hamjakubali kuwa Atheist wapo sahihi maana wao wanaishi kulingana na mazingira Mshana bado huwa unaenda mpka leo kanisani huwa nacheka sana kuna watu mpaka leo wanatoa sadaka msikistini au kanisani wakati baba ake anashinda na njaa wengine hawana kazi na ajira wanakimbilia kwa mwamposa wapate kazi huu si uzuzu kweli
Akili ni uwezo wa kupambana na mazingira ili kuweza kuyakabili mazingira yako Kiranga is right na atheist wote kutokubali akili zao kushikwa na kuendeshwa na watu
Ndio naenda kanisani nimechagua kuamini Mungu yupo na sioni shida kukiri hilo.. Hii ni imani ninajua kwa hakika naamini nini
 
Hakuna Mungu wengi wa kweli,wa kweli ni mmoja tu,aliyekuumba wewe,ulimwengu na vyote vilivyomo.
Najua Lucifer kakudanganya kwamba yeye ni Mungu,si kweli,he is a created being ambaye amemuasi Mungu aliyemuumba and for this he will be punished in internal hell.

You know what,
anatafuta company in eternal hell,which includes you.Kataa mkuu kuwa dragged to somewhere you do not deserve,wewe you deserve eternity in the New Jerusalem,not hell with Satan.Satan is already condemned to eternal hell hawezi kutubu.
Je mungu wa kweli ni yupi na tutamjuaje embu tutajie tujue ?
 
Hakuna binadamu ambae ni atheist, jina lipo tu ili kuelezea wasioamini uwepo wa Mungu. Kwa nini!! Binadamu ambae hana imani yoyote mbele ya watu, ikitokea kitu cha hatari ni lazima kuna kitu anatamka,na hicho ni imani yake. Kila mtu ana anachoamini kwenye moyo wake.
 
Back
Top Bottom