Kiranga sio atheist ni non-believer

Yani kuanzisha uzi kwajili tu yakumjadili mtu mmoja huoni kuna gepu apo. Nilikuuliza why kiranga ujanijibu
 
Tofautisha kujadili na kuelezea na kufafanua.... Vile vile hakuna sheria inayonilazimisha kujibu vile unataka wewe... Hii sio mahakama
 
kwa hiyo hapa Mshanajr ulikubaliana na hoja ya Mkuu Kiranga ama ulimaanisha nini?.

Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.

Kwa msingi huu, polisi wakisema kwamba nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao wanaosema kuna madawa , ku sachi nyumba mpaka wapate hayo madawa.

Kamwe hawakupi kazi ya kuthibitisha wewe unayejitetea kwamba nyumba yako haina madawa eti uthibitishe nyumba yako haina madawa, kwa sababu hata ukifagia vipi kuonesha nyumba yako haina madawa, kuna uwezekano unaweza kuwa umeyaficha pasipofikika.

Kwa hiyo, mzigo wa kuthibitisha ni wa yule anayesema kitu kipo,si anayekanusha. Anayekanusha anauliza tu kuthibitishiwa.

Nimeongelea "nje ya dhana".

Ukija kwenye dhana, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa "proof by contradiction".

Mungu huyo angekuwepo, asingetaka mabaya yaweze kutokea duniani kwa viumbe wake.

Mabaya yanatokea dunianikwa viumbe wake.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

NAONA UPO KWENYE LIST YA WALIO LIKE POINT YA MPINZANI WAKO KATIKA HUU UZI
Screenshot_20191114-205905.jpeg
 
Mmh sijakuelewa lakini kama mtu akiandika kitu nikakielewa kuna ubaya kutoa like? Na kwanini inachukuliwa kama Kiranga ni mpinzani wangu?
mbalaka hapa ni malumbano ya hoja nothing personal na malumbano haya nia yake ni kujengana na kupanuana ufahamu... Nje ya hapo huwa naikimbia mada ama reply haraka sana

NAONA UPO KWENYE LIST YA WALIO LIKE POINT YA MPINZANI WAKO KATIKA HUU UZIView attachment 1263302
 
Mmh sijakuelewa lakini kama mtu akiandika kitu nikakielewa kuna ubaya kutoa like? Na kwanini inachukuliwa kama Kiranga ni mpinzani wangu?
mbalaka hapa ni malumbano ya hoja nothing personal na malumbano haya nia yake ni kujengana na kupanuana ufahamu... Nje ya hapo huwa naikimbia mada ama reply haraka sana
nimesema mpinzani katika huu uzi na sio katka nyuzi zote.

nb: kuhusu kumpa pongezi mpinzani wako ni watu wachache wenye UTHUBUTU huo..
so, mimi nilitaka kujua tu kwamba hoja yake ya kwamba KISICHOKUPO HAKIPO umeikubali kama hoja iliyoshiba ama umeikubali kwa maana hipi?.
 
Kisichokuwapo hakipo na hakiwezi kutajwa popote... Hii ni yangu mimi... Nikimaanisha kwamba kama Mungu hayupo basi hawezi kutajwa popote... Lakini kama tunamtaja basi yupo kama vile tulivyo na akili lakini hatuwezi kuzionesha... Au mbalaka unaweza kunionyesha akili zako?
nimesema mpinzani katika huu uzi na sio katka nyuzi zote.

nb: kuhusu kumpa pongezi mpinzani wako ni watu wachache wenye UTHUBUTU huo..
so, mimi nilitaka kujua tu kwamba hoja yake ya kwamba KISICHOKUPO HAKIPO umeikubali kama hoja iliyoshiba ama umeikubali kwa maana hipi?.
 
nimesema mpinzani katika huu uzi na sio katka nyuzi zote.

nb: kuhusu kumpa pongezi mpinzani wako ni watu wachache wenye UTHUBUTU huo..
so, mimi nilitaka kujua tu kwamba hoja yake ya kwamba KISICHOKUPO HAKIPO umeikubali kama hoja iliyoshiba ama umeikubali kwa maana hipi?.
Huyo Kiranga hana uwezo wa kutetea hiyo hoja ye mwenyewe ameitoa tu kwa watu na inamshinda kuitetea,yeye anaanza tu kusema 'kisichokuwepo' hataki kuambiwa kuwa ili useme kitu hakipo pia kuna hatua lazima upitie huwezi kulala na kuamka tu na kuanza kusema kitu fulani hakipo na kwa sababu umesema hakipo basi ndio iwe kweli hakipo kwa sababu et 'kisichokuwepo hakipo'.
 
Kwa haraka haraka Kiranga ameonesha ukomavu mkubwa wa hoja, nadhani mshana Jr wewe ubaki na tunguli zako tu.

Unamsifia mtu asieamini uwepo wa Mungu!! Akili zingine bwana!! Okey Wewe endelea tu kumpoteza ndugu yako badala ya kumpa nasaha, watu kama ninyi sijui mutaenda kujibu nini kwa Mungu

إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ

(3:19) Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam,

: وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ

And whoever desires other than Islam as religion - never will it be accepted from him and he in the Hereafter will be among the losers
 
Jionee huruma
 
الْإِسْلَامُ ۗ

Jr
 
Jionee huruma

Pole sana, mfikishie pole na pagani mwenzio kiranga na afande sele anaeamini Mungu ni jua 😂😂 nanukuu maneno yake "Na ili kuukana huu ubinadamu sipaswi kuzikwa kwenye udongo,nikizikwa kwenye udongo maana yake nitafufuliwa kama binadamu tena kitu ambacho sikitaki tena, mimi nataka nifufuliwe kutoka kwenye moto inamaana naweza nikawa malaika😂😂 nikiwa muovu nitakuwa shetani, kwasababu hata huyo malaika hajaumbwa kwa udongo kaumbwa kwa moto"😂😂 kwahiyo ameusia siku Akifa achomwe kwenye moto ageuke majivu anaweza kagawa malaika 😂😂😂😂😂😂 Akili za kipumbavu hizi.

Moshi wa bhangi umegusa veins za oblangata
Pole sana, mfikishie pole na pagani mwenzio kiranga na afande sele anaeamini Mungu ni jua nanukuu maneno yake "Na ili kuukana huu ubinadamu sipaswi kuzikwa kwenye udongo,nikizikwa kwenye udongo maana yake nitafufuliwa kama binadamu tena kitu ambacho sikitaki tena, mimi nataka nifufuliwe kutoka kwenye moto inamaana naweza nikawa malaika nikiwa muovu nitakuwa shetani, kwasababu hata huyo malaika hajaumbwa kwa udongo kaumbwa kwa moto" kwahiyo ameusia siku Akifa achomwe kwenye moto ageuke majivu anaweza kagawa malaika Akili za kipumbavu hizi.

Jr
 
Back
Top Bottom