Kiranga sio atheist ni non-believer

Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.

Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)

Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.

Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.

Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.

Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.

Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?

Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Wewe siyo (pseudo) intellectual wa level ya Kiranga. Haya hebu kwanza tuambie tofauti ya atheist na non-believer.
 
Mimi watu sijui wanaopinga uwepo wa Mungu ,huwa hata wakiongea wanatapika dhahabu naishiaga kuwadharau tuuu.

Niivi " Kwa Mungu kila goti litapigwa ,uwe mwanga ,nabii fek. Mchawi, Msali nusu, ajuaye Mungu yupo lkn haishi kujitanabaisha kwa jamii kua hayupo Mungu , Muhun,mwizi , kahaba. Malaya, Atheist sijui uwe nani ukoo , KWA MUNGU KILA GOTI LITAPIGWA TUU , watu tutaruka ruka weeeeee lkn Kwa Mungu kila Goti litapigwa !!
Ndivyo unavyoamini wewe lakini unaweza usiwe sahihi kabisa. Imani ni suala la kibinafsi sana kwani kulithibisha ni almost impossible.
 
Back
Top Bottom