Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kama mudy hakujua kusoma wala kuandika anashindwaje kuwapiga chenga ya mwili kwenye vitu kama hivi???

Kwanza huoni hili ni muujiza kwa mtu asie jua kuandika akafundisha elimu kubwa namna hii ambayo hata wanasayansi wakae miaka na miaka wakanushe ya kuwa Jua,Mwezi,Jiwe,Maji,Kifo sio viumbe hai hawataweza ?
 
Binadamu ni chanzo cha nini ?
hana chanzo kwasababu yeye ni chanzo cha vyanzo vingine
Jua au Mwezi au Milima au Miti au Mawe au Maji au nini ? Nani amekwambia kwamba chanzo cha chanzo yaani chanzo cha pili ni binadamu ?
Milima vyanzo vyake ni volcano, mwezi na jua vyanzo vyake ni ulimwengu ambao ndiyo main chanzo hivyo hauwezi kuwa na chanzo

Unapoambiwa Ulimwengu una chanzo bila hata kuuliza Binadamu lazima awe na chanzo kwani na yeye ni sehemu ya Ulimwengu.
Yap binadamu ni sehemu ya ulimwengu, na ulimwengu ndio chanzo cha vyote hivyo huna haja ya kuuliza chanzo cha ulimwengu kwasababu ndicho chanzo cha yote hayo

Kaka wewe bado mdogo sana katika haya mambo,kama mtoto basi unalamba kamasi.
Yap kwenye maswala ya mungu mimi ni mtoto haswa na siji kukua katika hilo kwasababu hayupo

Nakufundisha kuwa makini katika kusoma hoja za watu na kujenga hoja pia,maswali unayouliza hata mtoto ni nadra sana kumkuta akiuliza.
Unifundishe nini mimi wewe? Kama mudy mlishindwa kumfundisha kujua kusoma na kuandika utanifundisha jambo gani lenye impact???
 
Nacheka sana huku nakuchora nimeshakuona hayawani ujue ndio maana nakupeleka puta navyotaka.

Sasa kanusha au onyesha kwamba hivyo vyote sio HAI.

Mimi ndiye naye kupeleka navyotaka, mwanzo uliandika "viumbe" nimekufanya ubadili iwe "viumbe hai"

Sheria yangu ni ileile, sinahaja ya kuonja mavi ili nihakikishe kua haya ni mavi. Kwa kanuni hiyo sina haja ya kukanusha kanusho lililoletwa na mpumbavu kwasababu watu hawataona utofauti
 
Kwanza huoni hili ni muujiza kwa mtu asie jua kuandika akafundisha elimu kubwa namna hii ambayo hata wanasayansi wakae miaka na miaka wakanushe ya kuwa Jua,Mwezi,Jiwe,Maji,Kifo sio viumbe hai hawataweza ?

Kutojua kusoma na kuandika kwa mtu kumekua ni muujiza???
 
Nimefaidika sana na maandishi yako.... Nimejifunza mengi sana
emoji109.png
emoji123.png
Asante. Mimi pia najifunza mengi kwa maandishi yako humu JF.
 
Una maana gani? Wewe ni kisababishi cha vitu gani ukiondoa hivi anavyotengeza kwa kutumia vitu alivyovikuta ulimwenguni?

Unaelewa hata nikienda sawa na swali lako nikisema nilijibu hujui kua chanzo kitakua ni ulimwengu na sio mungu??
 
Yap binadamu ni sehemu ya ulimwengu, na ulimwengu ndio chanzo cha vyote hivyo huna haja ya kuuliza chanzo cha ulimwengu kwasababu ndicho chanzo cha yote hayo
Sasa ndio uwe unatunza kumbukumbu. Wewe si ndio umesema pia kwamba Binadamu hana chanzo sababu yeye ni chanzo cha vingine.

Hapa naona unasema Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu. Kwahiyo rekebisha kule juu kwanza uliposema kwamba binadamu hana chanzo.

Hivi je nikikuuliza CHANZO CHA ULIMWENGU ni nini nitakuwa sahihi au nitakuwa nakosea ? Na kwanini ?

NAHITIMISHA HIVI :

1. Huelewei chochote kuhusu CHANZO.

2. Uache uongo na uwe makini,kwanini utuzuie sisi tusiulize kuhusu Chanzo cha Ulimwengu sababu yeye ni Chanzo,wakati huku sisi tunaposema hakuna Chanzo cha Chanzo unatupinga ?
 
Mimi ndiye naye kupeleka navyotaka, mwanzo uliandika "viumbe" nimekufanya ubadili iwe "viumbe hai"
Mimi si ndio nilikwambia ya kuwa Jiwe ni kiumbe hai siku za nyuma au sio mimi na msimamo ndio huo huo mpaka naingia kaburini.
 
Unifundishe nini mimi wewe? Kama mudy mlishindwa kumfundisha kujua kusoma na kuandika utanifundisha jambo gani lenye impact???
Ile ilikuwa ndip sifa anuai yake,kama hivi qlikuwa hajui kusoma na kuandika vipi angejua kusoma si ndip mngesema jamaa alikuwa mtunzi bora kuwahi kutokea.

Mola wetu ni mjuzi wa kupanga mambo.
 
hana chanzo kwasababu yeye ni chanzo cha vyanzo vingine

Milima vyanzo vyake ni volcano, mwezi na jua vyanzo vyake ni ulimwengu ambao ndiyo main chanzo hivyo hauwezi kuwa na chanzo

Yap binadamu ni sehemu ya ulimwengu, na ulimwengu ndio chanzo cha vyote hivyo huna haja ya kuuliza chanzo cha ulimwengu kwasababu ndicho chanzo cha yote hayo

Yap kwenye maswala ya mungu mimi ni mtoto haswa na siji kukua katika hilo kwasababu hayupo

Unifundishe nini mimi wewe? Kama mudy mlishindwa kumfundisha kujua kusoma na kuandika utanifundisha jambo gani lenye impact???
Ila hii post yako # 4206 imeonyesha udhaifu wako mkubwa sana na uongo wako wa wazi,kumbe huwa mnakimbia kujibu maswali makusudi kuficha ujinga wenu na kujichanganya changanya kama ulivyo jipala mavi kwa hii post yako.
 
Unaelewa hata nikienda sawa na swali lako nikisema nilijibu hujui kua chanzo kitakua ni ulimwengu na sio mungu??
Mpaka kufikia kuchukua mwelekeo au mtazamo huo ulionayo, umefanya utafiti na kuona kwamba, hicho unachokifuata ni sahihi, ndio ukweli.
Hii maana yake ni kwamba, una taarifa zote sahihi kwa pande zote: Mungu unaemkana hayupo, ni uongo, na hicho unachofuata na kuelewa ndio ukweli. Hicho cha kwako unachofuata, na Mungu unaemkana umeviweka kwenye mizani ukapima, ikaonekana Mungu ni uongo na hicho chako ndio ukweli.
Sasa, naomba unijibu maswali haya matatu:
1. Mungu maana yake ni nini?
2. Binadamu maana yake ni nini?
3. Ulimwengu maana yake ni nini?
Kutoka hapo, tutaweza kuendelea na mada. Tuelimishane.
 
Nami kama umenisoma vyema sijamaanisha kua umehitimisha kwa kudai jibu ni mungu

Nimeuliza hivyo ili nijue upi mtazamo wako katika hilo, hususani kama atheist wote watatoa jibu kama langu
Ntajikita kuwahoji zaidi ili waweze kunielezea kwa kina namna binadamu wale wawili walivyotokea.
 
Sasa ndio uwe unatunza kumbukumbu. Wewe si ndio umesema pia kwamba Binadamu hana chanzo sababu yeye ni chanzo cha vingine.
Yap ni chanzo cha vingine, kwani hujui vyanzo vya vitu vilivyoanzishwa na mtu???

Hapa naona unasema Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu. Kwahiyo rekebisha kule juu kwanza uliposema kwamba binadamu hana chanzo.
Nilivyosema ulimwengu ndio chanzo cha kilakitu umekubaliana na mimi kua ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu?

Hivi je nikikuuliza CHANZO CHA ULIMWENGU ni nini nitakuwa sahihi au nitakuwa nakosea ? Na kwanini ?[/QUOTE]
nami nitakuuliza mpaka unauliza hivyo unakubaliana na dhana ya chanzo cha chanzo hakina chanzo???

NAHITIMISHA HIVI :

1. Huelewei chochote kuhusu CHANZO.
Sielewi chanzo unachokidai wewe kua ndicho, kwa muktadha huo uko sahihi

2. Uache uongo na uwe makini,kwanini utuzuie sisi tusiulize kuhusu Chanzo cha Ulimwengu sababu yeye ni Chanzo,wakati huku sisi tunaposema hakuna Chanzo cha Chanzo unatupinga ?
Aliyetoa sheria ya chanzo hakina chanzo ndiye anayebanwa na hiyo sheria yake mwenyewe kwa kumzuia kuhoji vyanzo vya vyanzo vingine. Unaikubali sheria hiyo??

Hata hivyo Hitimisho lako naliita batili
 
Yule mwanaume wa kwanza aliumbwa na Mola kwa mikono yake,yule mwinginge alitokana na yule mwanaume,kisha vikafata vizazi na vizazi kwa njia ya kuingiliana.
Yule wa kwanza kama ni mtu basi huyo huyo ndio Mungu/mungu then akaumba wengine tukaendelea kuzaliana hiyo vipi?Kama ukisema hapana wa kwanza aliumbwa, kwa nini huyu alieumba ukatae hakuumbwa?😆😆😆 Hapo fasta watu wanaanza kukuletea vitabu na quotation bila proof😂.
 
Mimi si ndio nilikwambia ya kuwa Jiwe ni kiumbe hai siku za nyuma au sio mimi na msimamo ndio huo huo mpaka naingia kaburini.
Na ndiomaana nimekwambia huna uwezo wa kunipelekesha kukubali ujinga wako, kwasababu sitaki wote tufanane
 
Sasa mavi si yanajulikana mzee kwamba ni uchafu ? Landa uwe chizi ndio utataka uonje.

Naendelea kukufundisha.
Kwa kujua huko sina haja ya kuonja

Kama vile nilivyojua kua anayedai jiwe ni kiumbe hai ni punguani na hakuna haja ya kubishana naye kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom