Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,866
- 131,531
Unanihoji mimi kivipi vitu ambavyo sijavitamka mimi?? Hii dhana ya chanzo kisicho na chanzo imeanzishwa na nyinyi believers sasa mnatakiwa mkubsliane kwanza nyinyi kua ni kweli kisha ndipo tuanze kuichambuaHili nilikuhoji wewe sasa,rejea kisha ulijibu.
Huu ni udhaifu wako ulitakiwa kuweka wazi kabisa kabla hata hujaulizwaHuu ni udhaifu wako mwingine,hili ulitakiwa uulize mwanzo kabisa hata kabla ya kunukuu hoja zangu.
|QUOTE]Kasome tena hoja zangu na hii kauli unatakiwa uirekebishe sababu inajipinga kwa kauli yako nyingine kwamba "Binadamu hana chanzo sababu yeye ni chanzo cha vingine,Ulimwengu ndio chanzo cha kila kitu". Hii kauli inajipinga pakubwa sana na kutokana na kauli kunapatikana maswali mengi mno na udhaifu mkubwa pia.[/QUOTE]
Kwaiyo hapo unachagua lipi liwe jibu kwako ambalo utalielewa vizuri kati ya ulimwengu na binadamu??
Mpaka hapa umekubali kua ulimwengu ndio chanzo kwa minajili ya sheria hiyo huwezi kuhoji zaidi ya hapo. Na hitimisho la hoja hii ni kua mungu hayupoNaona na wewe imekubana sio ? Maana naona umepayuka kule kwamba hakuna wajibu wa kuhoji juu ya chanzo cha kila kitu.
Kaka wewe ni mgonjwa wa akili,na unaparamia yasiyo kuhusu na kuyafanya yakuhusu.
Nafurahi kua mgonjwa wa akili kwa kua bado nimeweza kung'amua uzushi mwingi ambao wasiougua ugonjwa wa akili wamekamatika kizembe tena hadi na mbutika zisizojua hata kusoma wala kuandika.