Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nacheka sana,unapata shida sana.

Muelekeze kwa namna gani huwa unaujua ukweli.
Ukikosa hoja sio lazima ukubali kua hujui unaweza kutumia kicheko kuficha ujinga wako
 
Jamaa anadai wewe ni muumin wa flat earth halafu akiangalia anaona hii ni 2019
emoji16.png
na mwengine kadai uliseme jiwe kiumbe hai
emoji23.png
Ili ujue kwamba huyo wa kwanza ni muongo sina imani hiyo,kwetu sisi Allah anasema Dunia ni duara.

Huyu wa pili hakuwahi kuthibitisha ya kuwa jiwe sio kiumbe.

Wape salamu zangu.
 
Ukikosa vigezo umekosa sababu ya msingi
Ina maana siku za nyuma nilivyokuwa najadiliana nae hakuona kwamba sina vigezo ?

Almuhimu hili tunalo lijadili halina umuhimu kabisa. Yeue ananiona mimi kilaza na mimi kadhalika na muona hivyo tena kwa hakika.
 
Ili ujue kwamba huyo wa kwanza ni muongo sina imani hiyo,kwetu sisi Allah anasema Dunia ni duara.

Huyu wa pili hakuwahi kuthibitisha ya kuwa jiwe sio kiumbe.

Wape salamu zangu.

Sikuwahi kuthibitisha kwasababu ningefanya hivyo watu wasingeona tofauti kati ya mimi na wewe, kama venyewe siwezi kuthibitisha kua haya ni mavi kwa kuyalamba. Kwasababu kufanya hivyo watu hawataona utofauti kati ya mimi na vichaa.
 
Hivi kati ya anae thibitisha na anae kanusha wako sawa,basi hiyo hadhira haifai kuchukukiwa dhamana.

Hatuwezi kuwa sawa.
 
Ina maana siku za nyuma nilivyokuwa najadiliana nae hakuona kwamba sina vigezo ?

Almuhimu hili tunalo lijadili halina umuhimu kabisa. Yeue ananiona mimi kilaza na mimi kadhalika na muona hivyo tena kwa hakika.

Kabla hujasema jiwe ni kiumbe hai, hakujua kwamba huna vigezo
 
Mbona mimi siamimi uwepo wa huyo mungu na nimekujibu kua sijui?? Kwani jibu la "sijui" halitakiwi katika swali hilo???
Neno "sijui" kwa namna ulivyolitumia hapo, maana niliyoielewa ni kwamba huna taarifa yoyote kuhusu hicho chanzo cha hao binadamu wawili wa kwanza ambao sisi ni uzao wao. Hivyo, kwa mantiki hiyo nikaona nisiliweke kwenye jibu linalonijibu swali langu juu ya chanzo cha binadamu hao wawili wa kwanza.
 
Kwaiyo target ya swali lako ni kupata majibu ya "ndio" tu siyo??
 
Target yangu sio kupata jibu la "ndio" au "sio", bali kupata jibu litakalonielezea chanzo cha hao wanadamu wawili, ambao sisi ni uzao wao.
Ulivyopewa jibu la mungu umejihakikishiaje kua ni kweli?
 
Hakuna sehemu nimesema nimejihakikishia kuwa Mungu ndiye jibu la kweli juu ya swali langu nililouliza. Nasubiri majibu kutoka upande wa wasioamini juu ya uwepo wa Mungu ili kuona nao wana majibu gani juu ya swali langu.
 
Kabla hujasema jiwe ni kiumbe hai, hakujua kwamba huna vigezo

Niliye kwambia kwamba Jiwe ni kiumbe ni wewe na huu ndio msimamo wangu mpaka nitakapojifia.

Kila mtu atasema yake ila hakuweza kujibu hoja zangu na maswali yangu na hili limeonekana si kwangu tu bali kwa wengi wenye kumuhoji,alizoea kuona kinyume na uhalisia.
 
Hakuna sehemu nimesema nimejihakikishia kuwa Mungu ndiye jibu la kweli juu ya swali langu nililouliza. Nasubiri majibu kutoka upande wa wasioamini juu ya uwepo wa Mungu ili kuona nao wana majibu gani juu ya swali langu.
Huyo haamini,muulize hilo swalo akikujibu nistue.

Wanajiona wajuaji mpaka wanakuwa wajinga.
 
Niliye kwambia kwamba Jiwe ni kiumbe ni wewe na huu ndio msimamo wangu mpaka nitakapojifia.

Kila mtu atasema yake ila hakuweza kujibu hoja zangu na maswali yangu na hili limeonekana si kwangu tu bali kwa wengi wenye kumuhoji,alizoea kuona kinyume na uhalisia.
Hapana, niliambiwa na mtu kua ushawahi kumuambia kiranga kua jiwe ni kiumbe hai na mimi nikakuuliza ili nijihakikishie ndipo ukathibitisha kua ni kweli uliongea huo utumbo.
 
Back
Top Bottom