Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,891
- 131,590
Swali ganiHuyo haamini,muulize hilo swalo akikujibu nistue.
Wanajiona wajuaji mpaka wanakuwa wajinga.
Swali ganiHuyo haamini,muulize hilo swalo akikujibu nistue.
Wanajiona wajuaji mpaka wanakuwa wajinga.
Kuna connection gani kati ya hilo swali na hoja yangu?Bila shaka.
Nami kama umenisoma vyema sijamaanisha kua umehitimisha kwa kudai jibu ni munguHakuna sehemu nimesema nimejihakikishia kuwa Mungu ndiye jibu la kweli juu ya swali langu nililouliza. Nasubiri majibu kutoka upande wa wasioamini juu ya uwepo wa Mungu ili kuona nao wana majibu gani juu ya swali langu.
Sio kweli.Hapana, niliambiwa na mtu kua ushawahi kumuambia kiranga kua jiwe ni kiumbe hai na mimi nikakuuliza ili nijihakikishie ndipo ukathibitisha kua ni kweli uliongea huo utumbo.
Asante sana mshana kwa kunipa mwongozo wa kujua vitu kwa kuanza kuvi define vyenyewe maana zake, bila hiyana nakubali hii ndio njia bora ya kujifunza jambo lolote usilolijuaKuhusu sayansi inaongea ukweli au la, ni vizuri kwanza ukafahamu sayansi ni nini? Inaongozwa na nini? Inajibu nini na inahudumia nini? [emoji123][emoji109][emoji120]
Chanzo chetu sisi binadamu ni nini ?Swali gani
Hakuna chanzo cha chanzo, isipokuwa chanzo cha ulimwengu, binadamu na viumbe vingine. Hivi vina asili ya chanzo chake.
Kwa muktadha wa Mungu, chanzo. Nje yake yaani chanzo hakuna chanzo, isipokuwa chanzo chwenyewe, Mungu.
Nikisema wewe ni mjinga ujue huwa nakupa haki yako,halafu unataka unikosoe mimi hali ya kuwa hujui unachokiandika ni nini na kipo katika mrengo.Kuna connection gani kati ya hilo swali na hoja yangu?
Kwani lazima wawe na chanzo??Chanzo chetu sisi binadamu ni nini ?
Au wale wa mwanzo wetu walitokana na nini ? Au sisi tumetokea tu bila chanzo ?
Sio kweli.
Nasema tena hiv "JIWE NI KIUMBE" na hakuna wa kupinga hili kielimu.
Naongeza tena MUDA nao ni KIUMBE. JUA,MWEZI vyote ni VIUMBE,mpaka KIFO nacho ni kiumbe.
Una bahati uko mbali na mimi,ningekupiga bonge la BANZI,kauli mbona iko wazi sana,umeambiwa "Hakuna chanzo cha chanzo", yaani hicho chanzo cha pili hakihitaji chanzo sababu chenyewe ni chanzo kisichokuwa na chanzo ila ulimwengu wenyewe ndio una chanzo. Lakini maneno hayo hujaelewa tu halafu unakuja kuuliza maswali ya kitoto.Kama chanzo cha chanzo hakipo basi hata sisi watu hatuna chanzo, kwasababu sisi ni visababishi vya vyanzo vingine
Kwanini kusiwe na ulazima wa kuwa na chanzo ?Kwani lazima wawe na chanzo??
Bado swali langu hujalijibu, huwezi ukawa unauliza maswali ya kipumbavu nikayajibu bila kujua sourceNikisema wewe ni mjinga ujue huwa nakupa haki yako,halafu unataka unikosoe mimi hali ya kuwa hujui unachokiandika ni nini na kipo katika mrengo.
Uliposema kwamba ukianza kujadili na mimi kuhusu jiwe ni kiumbe kutakuwa hakuna tofauti yangu mimi na wewe. Unakumbuka hii kauli ? Sasa mimi ndio nikakuonyesha ya kuwa utofauti upo na utakuwepo,sababu mimi nathibitisha na wewe una kanusha. Kisha nikakuuliza swali "Je anae thibitisha na anae kanusha wawili hawa wako sawa ?".
Una upeo mdogo sana wa kung'amua mambo.
VYOTE NI VIUMBE HAI NA VINATII AMRI YA ALIYE VIUMBA.Usiishie hapo sema ni viumbe hai ili itaila wako uonekane vizuri
Kazi ipo hapa,kwanza unakumbuka swali lako ulilo uliza ? Mimi nakumbuka na jibu nimekupa.Bado swali langu hujalijibu, huwezi ukawa unauliza maswali ya kipumbavu nikayajibu bila kujua source
Swali ulilouliza lina relate vipi na hoja yangu??
Una bahati uko mbali na mimi,ningekupiga bonge la BANZI,kauli mbona iko wazi sana,umeambiwa "Hakuna chanzo cha chanzo", yaani hicho chanzo cha pili hakihitaji chanzo sababu chenyewe ni chanzo kisichokuwa na chanzo ila ulimwengu wenyewe ndio una chanzo. Lakini maneno hayo hujaelewa tu halafu unakuja kuuliza maswali ya kitoto.
Hii kwa muktadha wa mazoba utaeleweka kirahisi sanz, maana kama walinyweshwa jiki kiulaini bila ubishi watashindwaje kuamini ujinga huu???VYOTE NI VIUMBE HAI NA VINATII AMRI YA ALIYE VIUMBA.
Binadamu ni chanzo cha nini ? Jua au Mwezi au Milima au Miti au Mawe au Maji au nini ? Nani amekwambia kwamba chanzo cha chanzo yaani chanzo cha pili ni binadamu ?Unabahati mungu hayupo, angekuwepo ningemtia bonge la kofi kwa kuruhusu wapumbavu kama wewe na akili ndogo kama zako muwepo
Unajuaje kwamba ulimwengu kua unachanzo, na chanzo cha chanzo hicho kisiwe na chanzo???
Ukisema chanzo cha chanzo hakina chanzo unakua umemaanisha binadamu hana chanzo kwasababu yeye ni chanzo cha vyanzo vingine unaelewa we mbutika?????
Kazi ipo hapa,kwanza unakumbuka swali lako ulilo uliza ? Mimi nakumbuka na jibu nimekupa.
Nakukumbusha tu,umetaka kuona uhusiano wa kauli yangu na hoja yako,mimi nimekuonyesha na kukupa ziada. Unakumbuka hilo ?
Nacheka sana huku nakuchora nimeshakuona hayawani ujue ndio maana nakupeleka puta navyotaka.Hii kwa muktadha wa mazoba utaeleweka kirahisi sanz, maana kama walinyweshwa jiki kiulaini bila ubishi watashindwaje kuamini ujinga huu???