Just Google mkuu.
Umemjibu tofauti na fikra zangu kivipi, kwamba biblia uliyomlengesha kua akasome haijasema binadamu kaumbwa na mungu???Nimrmjibu tofauti na fikra zako! Kwanini unapenda kuwalisha watu majibu? Huu ni mjadala huru tujadiliane kwa hoja na si viroja
Na sina haja ya kufanya hivyo, nikifanya hivyo watu hawataona utofauti kati ya mimi na weweHuku ndio hukuwezi kabisa.
Unaweza ukafunzwa kuto kataa ukweli, nabado ukakataa ukweli ili usionekane umejibiwa hoja zako. Hiyo haimaanishi kua kila ulichofunzwa nilazima ukitimize kama ulivyo funzwaSijafundishwa kuukataa ukweli,ungekuwa umesema kweli ningekiri tu mbona rahisi. Ila hakuna mfano ulio uweka ukakidhi haja kulingana a msingi wa hoja husika.
Ulisema Umejibu tofauti na fikra zangu siyo?Uko sahihi
Leta maelezo unayoyakubali kuhusu chanzo cha mtu, tuyaone kama hayana ukakasiView attachment 1188728
Baada ya ku-google hii ni picha ambacho nimerudi nayo as a summary of hiyo Human Evolution. Kwangu mimi naona bado imejaa ukakasi sana, kuamini kwamba Sisi( mimi na wewe) asili yetu imetoka huku. Nikiangalia maumbile ya hicho kiumbe katika stage ya kwanza na namna ambavyo binadamu tupo naona kuna utofauti mkubwa sana, pili kwa nini baada ya kufikia stage tuliyopo sasa, Evolution hiyo haijaendelea tena ?
Safi.Na sina haja ya kufanya hivyo, nikifanya hivyo watu hawataona utofauti kati ya mimi na wewe
Elimu ni amana. Kama hujui maana ya amana kaukize kwa wakubwa zako.Unaweza ukafunzwa kuto kataa ukweli, nabado ukakataa ukweli ili usionekane umejibiwa hoja zako. Hiyo haimaanishi kua kila ulichofunzwa nilazima ukitimize kama ulivyo funzwa
Kafundishwe namna ya kuepuka kukosea kuandika kwanzaElimu ni amana. Kama hujui maana ya amana kaukize kwa wakubwa zako.
Umefurahi?Safi.
Samahanini kwa kuingilia mjadala unaoendelea. Baada ya kuufuatilia huu mjadala nimejikuta napata swali ambalo ningependa kujibiwa na mtu yoyote based on what he/she believes in.
Biologically, sote tunafahamu kuwa binadamu anazaliwa. Kumaanisha sisi wote humu tumezaliwa. Na ili mtu azaliwe ni lazima mwanaume na mwanamke waungane kupitia tendo la ndoa.
Kama sisi sote tumezaliwa kama matokeo ya binadamu wawili wa kwanza ambao waliungana kupitia tendo la ndoa. Sasa basi, swali langu ni kwamba hao binadamu wawili wa kwanza ambao ni mwanaume na mwanamke, walitoka wapi ?
Poa.Kafundishwe namna ya kuepuka kukosea kuandika kwanza
Umefurahi?
Kazi ya kuongea ujinga?Kazi imeisha.
HaswaaaKazi ya kuongea ujinga?