Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Yule mwanaume wa kwanza aliumbwa na Mola kwa mikono yake,yule mwinginge alitokana na yule mwanaume,kisha vikafata vizazi na vizazi kwa njia ya kuingiliana.
Nashukuru kwa majibu. Ni wazi jibu lako linaendana na lile alilonipa ndugu Mshana Jr .Natamani sana kusikia majibu kutoka kwa Kiranga ambaye haamini juu ya uwepo wa Mungu/Mola kama mlivyotaja hapo.
 
Kwanza umeshakubali kua ni haki yangu kuhoji vyanzo vya vitu kwasababu niko hai???
Ndio. Nakubali kabisa, ni haki na wajibu kuhoji.
Lakini unashindwa kuelewa chanzo, hapo hapo unataka kuelewa chanzo cha chanzo. Huu ndio mgogoro: huelewi nini ni nini.
 
Sio muoga, hujakidhi vigezo

Anaijua shughuli yangu,naona una msemea sio.

Ana madeni ya maswali yangu kibao,sijapata kuona mtu muoga kama yule ukimbana anauliza maswali kisha mtu muoga wa pili ni wewe. Kuna ujinga fulani mnafanana.

Huwa anajificha katika kivuli cha "Logic" lakini logic hakuielew ukimuuliza maswali kuhusu na hiyo fani hajibu.

Tujikite kwenye mada,nimgusia tu.
 
Ndio. Nakubali kabisa, ni haki na wajibu kuhoji.
Lakini unashindwa kuelewa chanzo, hapo hapo unataka kuelewa chanzo cha chanzo. Huu ndio mgogoro: huelewi nini ni nini.

Hujaeleza ni kipi Kizuizi kinachonizuia nisiweze kujua chanzo cha chanzo kwasababu sijui chanzo???
 
Kwanza hilo jibu ulilopewa umeafiki kua ni kweli???
Nimesikia majibu kutoka upande mmoja ambao wao wanasema kuwa chanzo cha hao binadamu wawili wa kwanza ni kuwa waliumbwa na Mungu/Mola. Nasubiri kusikia majibu kutoka upande wa pili wa watu wasio amini juu ya uwepo wa huyo Mungu/Mola kisha nitaweza kujua niafikiane na upande upi.
 
Umemjibu kwa busara sana,yeye anataka ukatae majibu yetu wakati upo katika kuutafuta ukweli.

Huyo ni mfano wa Kiranga unaweza pia ukamuuliza swali hilo,akikujibu nistue vile vile.
 
Kuhusu sayansi inaongea ukweli au la, ni vizuri kwanza ukafahamu sayansi ni nini? Inaongozwa na nini? Inajibu nini na inahudumia nini?
Kwa msingi huo, sayansi haipaswai kuachwa kwa ukweli wake katika maumbile.
Kuhusu sayansi inaongea ukweli au la, ni vizuri kwanza ukafahamu sayansi ni nini? Inaongozwa na nini? Inajibu nini na inahudumia nini? [emoji123][emoji109][emoji120]
 
Kuhusu sayansi inaongea ukweli au la, ni vizuri kwanza ukafahamu sayansi ni nini? Inaongozwa na nini? Inajibu nini na inahudumia nini?
emoji123.png
emoji109.png
emoji120.png
Thank you! Mshana Jr!
 
Hujaeleza ni kipi Kizuizi kinachonizuia nisiweze kujua chanzo cha chanzo kwasababu sijui chanzo???
Hakuna chanzo cha chanzo, isipokuwa chanzo cha ulimwengu, binadamu na viumbe vingine. Hivi vina asili ya chanzo chake.
Kwa muktadha wa Mungu, chanzo. Nje yake yaani chanzo hakuna chanzo, isipokuwa chanzo chwenyewe, Mungu.
 
Hayo mengine uliyoyanadi kua ni mazuri mbona umeyataja bila kuniambia nikajifunze jiografia??? Ulivyokua unasema ulimwengu na vilivyomo ni vinyoofu kwanini hukuniambia nikasome jiografia?? Hukujua katika vilivyomo ni pamoja na tsunami na matetemeko ya ardhi??

Kwenye mambo magumu yanayopingana kwa kukosoa akili kubwa unayoitaja ndiyo nikasome jiografia ila hayo mazuri nisisome unanisomea wewe sio???
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja niongeze siku
 
Poa,akikujibu nitag,maana mimi ana dai ameni "Ignore". Muoga sana yule.

Jamaa anadai wewe ni muumin wa flat earth halafu akiangalia anaona hii ni 2019[emoji16] na mwengine kadai uliseme jiwe kiumbe hai[emoji23]

Labda ufafanuzi ulihitajika zaidi mufti nahisi walikuchukulia poa sana

Sasa Ndio nawaza siku ukiwaambia mh alipasua mwezi vipande viwili na kisha akavisunda kwenye Joho sijui itakaa vipi hiyo[emoji848]
 
Kuhusu sayansi inaongea ukweli au la, ni vizuri kwanza ukafahamu sayansi ni nini? Inaongozwa na nini? Inajibu nini na inahudumia nini?
Kwa msingi huo, sayansi haipaswai kuachwa kwa ukweli wake katika maumbile.
Na mjadala kwanini ufiko huko wakati umepewa option ya kujibu ndiyo au hapana???
 
Anaijua shughuli yangu,naona una msemea sio.

Ana madeni ya maswali yangu kibao,sijapata kuona mtu muoga kama yule ukimbana anauliza maswali kisha mtu muoga wa pili ni wewe. Kuna ujinga fulani mnafanana.

Huwa anajificha katika kivuli cha "Logic" lakini logic hakuielew ukimuuliza maswali kuhusu na hiyo fani hajibu.

Tujikite kwenye mada,nimgusia tu.
Ukikosa vigezo umekosa sababu ya msingi
 
Nimesikia majibu kutoka upande mmoja ambao wao wanasema kuwa chanzo cha hao binadamu wawili wa kwanza ni kuwa waliumbwa na Mungu/Mola. Nasubiri kusikia majibu kutoka upande wa pili wa watu wasio amini juu ya uwepo wa huyo Mungu/Mola kisha nitaweza kujua niafikiane na upande upi.
Mbona mimi siamimi uwepo wa huyo mungu na nimekujibu kua sijui?? Kwani jibu la "sijui" halitakiwi katika swali hilo???
 
Back
Top Bottom