Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,940
- 131,739
Samahanini kwa kuingilia mjadala unaoendelea. Baada ya kuufuatilia huu mjadala nimejikuta napata swali ambalo ningependa kujibiwa na mtu yoyote based on what he/she believes in.
Biologically, sote tunafahamu kuwa binadamu anazaliwa. Kumaanisha sisi wote humu tumezaliwa. Na ili mtu azaliwe ni lazima mwanaume na mwanamke waungane kupitia tendo la ndoa.
Kama sisi sote tumezaliwa kama matokeo ya binadamu wawili wa kwanza ambao waliungana kupitia tendo la ndoa. Sasa basi, swali langu ni kwamba hao binadamu wawili wa kwanza ambao ni mwanaume na mwanamke, walitoka wapi ?
Hilo swali mimi silijui jibu lake, ngoja waje wakwambie jibu ni mungu