Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,790
- 95,591
Pia nimeacha kwenda church kwasababu sioni sababu ya kufanya hivyo. Mizinguo tu halina lolote..juzi hapa nimetoka kugombana na mtu eti ananiambia niende church ili nibadilike mawazo yangu. Cha kushangaza na yeye haendagi. Namvutia kasi ipo siku nitamtolea maneno hata amini kwasasa ngoja niendelee kukuheshimuEti Yesu aliwahi kusema (according to maandiko) kuwa kipofu hawezi kuongoza kipofu mwenzie, lakini kanisani unakuta mchungaji ni kahaba na mla rushwa mkubwa, ukihoji kwa waumini wa kanisa lake wanakwambia usifuate mtu fuata mafundisho yake, nna mwaka wa 10 sasa sijui mlango wa kanisa, labda kwenda kuaga misiba,