fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,024
- 6,357
ni kile kitu ambacho hakikuwepo kabla lakini kikabuniwa ili kiwepoNaomba unitajie sifa za kitu kinachotungwa au kilicho tungwa.
ni kile kitu ambacho hakikuwepo kabla lakini kikabuniwa ili kiwepoNaomba unitajie sifa za kitu kinachotungwa au kilicho tungwa.
Binadamu nae ametungwa ?ni kile kitu ambacho hakikuwepo kabla lakini kikabuniwa ili kiwepo
yap amebuniwa ,hakuwepo kablaBinadamu nae ametungwa ?
Unawezaje kutunga kitu ambacho kipo ndani yako? Mungu yuko ndani yako, vipi iwezekana kutungwa!kwahiyo unakubaliana na mimi hilo jina MUNGU NI LA KUTUNGA TU
Muktadha wa majadiliano ni Mungu.Unaposema maneno yana ndani yake asili,hauko sahihi bali usahihi ni kuwa maneno yana asili.
Jibu ni moja: la kitafiti.Hivi unaweza kunipa tofauti kati ya swali hili "Unamjua Zurri ?" na "Unamjua Zurri ni nani ?". Hapa jibu la maswali haya ni moja au tofauti ?
Umeelewa maana ya '...Imeandikwa ndani ya moyo wako...'?so ni binadamu tu ndio alifanya maamuzi ya kuita hivyo wengine wakafata ,na wala yeye mwenyewe hakuna sehemu aliyojiita hivyo
Ni Yesu mwenyewe kwa kifo na ufufuko wake anadhirisha Yeye ni Mungu kweli.Nakupa mfano kati yenu nyinyi mnao dai ni wafuasi wa Yesu na Yesu mwenyewe nani alisema kwamba Yesu ni Mungu
....Naendelea kufafanua.Naposema asili huweza yakawa ya uongo na ukweli pia hii yote ni matini,na asili niliyo itoa humo kwenye Biblia kwa usahihi wake hayakutakiwa yagongane sababu ni maneno ya Mungu.
Neno linaweza likawa na asili. Lakini neno hilo hilo linaweza lisiwe na ukweli wa hicho linachokimaanisha.Unaposema maneno yana ndani yake asili,hauko sahihi bali usahihi ni kuwa maneno yana asili.
Nakushauri kama huelewei ninacho kiandika,usijenge hoja kabla ya kuniuliza sababu unazidi kukosea.
Nakupa mfano kati yenu nyinyi mnao dai ni wafuasi wa Yesu na Yesu mwenyewe nani alisema kwamba Yesu ni Mungu ?
Jibu ni moja: la kitafiti.
Niko tayari kusikia jibu lako tafadhali.Hili sio jibu.
[emoji38][emoji38]Kiranga ameniharibu sana, Kiranga kama Mungu yupo ntakulaumu sana, maana mpaka asaiv mtu haniambii kitu, umeniambukiza imani mpya.
[emoji38][emoji38]